Mgomo? Una uthibitisho?Tayari washaanza kushuka mbona? Si unaona wamemgomea vikao vya chama? Mgomo mkubwa. Tusubiri tuone iinakuaaje then tutapanda tena

He couldn't pull a big thing of that magnitude alone.Mbona Polepole kasema yuko pekee yake??
Au siku hizi umekuwa mganga wa kienyeji??
Utabiri wa marehemu shekhe yahya unaenda kutimia, safari ya mkoloni kaburu toka Zanzibar imewadiaNimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Machawa siwasikii tena nashangaa
Sasa hivi amekuwa ameacha usela. Kumbe upo kitambo mkuuHiyo Mia alikuwa anaandika sana mwaka 2011,2013 😂😂😂
Mda utaamua,Haina haja ya maneno mengi lolote linawezekana maana wamejificha tuu kwenye huo utaratibu lakini ishu yao hapa ni UzanzibarSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Nitakupa mfano unaoufahamu vizuri sana. Russia na Ukraine kila leo washirika (Allies) wanatangaza kuwa Ukraine tutampa Silaha hizi. Na yeye Russia anatangaza mimi nina nukes hatari na intercontinental balaa. Kwa hiyo hoja yako ya kuficha silaha haina mashiko kama unatumia scenario ya vita.Ulitaka asemeje? Una miaka mingapi?
Unaweza kumuambia adui yako silaha unazotegemea?
Nipo kitambo sana Mkuu, yaaani zile zama ukitaka kutumia Jamiiforums kwenye simu lazima uonane na Melo physicallySasa hivi amekuwa ameacha usela. Kumbe upo kitambo mkuu
Hatutaki kutawaliwa na ka nchi kadogo kama kata ya MchafukogeSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Mgambo mnaruka na kukanyagana .......aaaaaa mnanchekaaSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Kuna mwenyekiti mmoja wa CCM mkoa fulani aliwahi niuliza, inakuwaje hii iwe awamu ya sita na hatujaenda kufanya uchaguzi, na kuwa hii serikali ni muendelezo wa awamu ya 5!!!??Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
Tufanye hana sifa (kwa mujibu wako), viongozi tulionao sasa na tuliowahi kuwa nao wana sifa za kuwa viongozi!!??Polepole hana sifa yakuwa kiongoz
Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Itokee bahati mbaya wahuni kama kina Polepole na wanaowatuma basi makundi yafuatayo yatakula hasara sanaSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
Hakika 🤣Wahuni sio watu wazuri 😀 😀 😀 😀
No reforms no electionNimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.