Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
lakini samia alikuwepo kwenye kwa miaka 10 kwenye umakamu na urais, au siyo? mimi naamini, kama Mungu amemchagua samia awe rais wetu, hakuna atakayezuia, ila kama Mungu amemkataa, hata afanye nini hawezi kuwa rais na akilazimisha hatafanikiwa kuongoza. tumsikilize Mungu hasa sisi tuliofungiwa makanisa ambao kesho hata hatujui wapi tutasali wakati wenzetu wa dini nyingine wanaswali wapendavyo.
 
Machawa siwasikii tena nashangaa
Propaganda za kipuuzi kabisa hizi,mambo ni mazuri sana,na tarehe 28July wabunge wateule watatangazwa, TUJIANDAE OCTOBER KUPIGA TIKI KUBWA
images.png
 
Awamu ya tano sio sita
Uzuri umaskini unapungua na kasi ya kupungua imeongezeka zaidi awamu ya 6.

Kilimo kinatoa matajiri

Sekta binafsi iliyokufa imerudi upya

Hakuna vyuma kukaza

Mabenki hayafilisiki tena.

Huo umaskini umeongezekea wapi ikiwa Huduma za kijamii na kiuchumi zimeimarika?

Haya yote yalikuwa kinyume nyume awamu ya 5.

Mwisho Chadomo chagueni mrudi uhamishoni au msalie ndani chini ya SSH?
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole
Sasa umeandika nini? Kibwengo tu wewe
 
Huu mwaka utabaki wa kihistoria katika nchi yetu
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu Tanzania ni yetu sote.
View attachment 3410995
Balozi Humphrey Herson Polepole
Jukwaa la wazushi ni Muhimu sana
 
Hakika ni upotoshaji kuiita hii awamu ya 6. Sijui nani alikuja na hilo wqzo.
 
Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
shirikiana na mtoa mada mtueleze "AWAMU" ni nini na mnanukuu kutoka chanzo gani?
 
Mkuu hili mbona tulipinga sana kipindi yeye analazimisha ila wajinga ''wakashinda''? Kumbe alikuwa na maana yake
mkuu "AWAMU" ni nini? na tunanukuu maana hii kutoka kwenye chanzo gani?
 
Back
Top Bottom