Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Hiyo kesi mahamakamani inahusianaje na chadema kuzuiwa kufanya siasa?

Hayo mambo mengine ya takwimu yanayohusu nini?
Umeamini wa Tanzania umeongezeka
Weka takwimu za umaskini Tanzania kutoka 2010 hadi sasa 2025, uone kamma umaskini umepungua au unazidi kuongezeka
Ndio.

Umaskini umepungua hata bila takwimu wewe ukisikia sekta ya Kilimo walilo 70% ya Watz imeimarika hapo umaskini umepungua au umeongezeka?
 
Ndio nini? Nchi imejaa umaskini mtupu
Uzuri umaskini unapungua na kasi ya kupungua imeongezeka zaidi awamu ya 6.

Kilimo kinatoa matajiri

Sekta binafsi iliyokufa imerudi upya

Hakuna vyuma kukaza

Mabenki hayafilisiki tena.

Huo umaskini umeongezekea wapi ikiwa Huduma za kijamii na kiuchumi zimeimarika?

Haya yote yalikuwa kinyume nyume awamu ya 5.

Mwisho Chadomo chagueni mrudi uhamishoni au msalie ndani chini ya SSH?
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Swami ni ya Tano term ya pili, wahuni ndani ya ccm wamevuruga mambo
 
Uzuri umaskini unapungua na kasi ya kupungua imeongezeka zaidi awamu ya 6.

Kilimo kinatoa matajiri

Sekta binafsi iliyokufa imerudi upya

Hakuna vyuma kukaza

Mabenki hayafilisiki tena.

Huo umaskini umeongezekea wapi ikiwa Huduma za kijamii na kiuchumi zimeimarika?

Haya yote yalikuwa kinyume nyume awamu ya 5.

Mwisho Chadomo chagueni mrudi uhamishoni au msalie ndani chini ya SSH?
Usiniandikie risala, ukisema umaskini umepungua weka hizo takwimu kuanzia 2010 Hadi Sasa 2025

2010 umaskini ulikua 26% ya watanzania, kwa sasa ni ngapi? Hapo ndio tutajua unapungua au unaongezeka. Usiniwekee risala, weka hizo figures
 
Hata nikikuwekea Bado utabisha lakini nikikwambia weka ushahidi wa 26% huwezi kuweka
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Mwenye nguvu ndani ya CCM ni Mwenyekiti wa CCM Taifa. Mwenye nguvu kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mwenye kofia zote mbili Rais Samia Suluhu Hassan. Hizo zenu ni ngonjera na zinakubalika ili kuburudisha jukwaa!!
 
Wameundoe huyo Malaya nchi irudi mikono salama na uhuru wetu uheshimike. Huyu mbwa anashushisha wanajeshi wastaafu kwenye mabasi mchana kweupe na kwenda kuwaua kama nguruwe ununion halafu anatamba eti kifo ni kifo tu ni bora aende segerea au keko akapumzike maana Lisu aliyestahili kuwa ikulu yupo keko na aliyestahili kuwa keko yupo ikulu huu ni usenge
Acha matusi sasa nani ndio mbwa. Hebu kuweni na adabu huyo ni kiongozi wa nchi nyinyi vijana mbona hamna heshima hata kidogo
 
Pitia hii document ya bank ya dunia.

Ukimaliza weka sasa wewe ya 2025, tuone kama umaskini umepungua au umeongezeka zaidi
Achana na hilo chawa huwa linajiona smart kisa vimisheni vyake haramu vinatembea awamu hii
Maendeleo kama yapo wala sio siri watu wangeona na kuunga mkono serikali yao maana watanzania wengi wala sio waumini wa chama wala mtu ila ukiona nguvu kubwa ya dola inatumika kuulinda utawala dhidi ya sauti ya wananchi hapo pigia mstari
 
Uzuri umaskini unapungua na kasi ya kupungua imeongezeka zaidi awamu ya 6.

Kilimo kinatoa matajiri

Sekta binafsi iliyokufa imerudi upya

Hakuna vyuma kukaza

Mabenki hayafilisiki tena.

Huo umaskini umeongezekea wapi ikiwa Huduma za kijamii na kiuchumi zimeimarika?

Haya yote yalikuwa kinyume nyume awamu ya 5.

Mwisho Chadomo chagueni mrudi uhamishoni au msalie ndani chini ya SSH?
Anguko kubwa moja takatifu liko njiani
 
Back
Top Bottom