Sisi tumekariri kwamba rais lazima akae madarakani miaka 10 , sio lazima anaweza kukaa hata suku moja tu, samia ni rais wa 6 , na kiprotocal inahesabika awamu yake ni ya 6Sawa! Je, awamu pia inabadilika?

Vipi Ile intake ya 2006-2007?Intake ya JF ya mwaka 2008 hadi 2011 ni Moto wa kuotea mbali.. Hadi leo🔥🔥🔥🔥
Acha upumbavu wako hapaWewe huna sifa ya kuwa chawa, unamaliza miti tu kwa kuandika upimbi
Kimsingi zaidi, awamu haipo kisheria wala kikatiba. Inashangaza sana inapokua inabishaniwa au kuleta mijadalaKimsingi hakuna awamu inayoweza kupatikana pasipokupitia uchaguzi
Ahahahaaaa kama alivyowapoteza maboya kwamba yupo nchini vileMbona Polepole kasema yuko pekee yake??
Au siku hizi umekuwa mganga wa kienyeji??
HahahaaaAcha upumbavu wako hapa