Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,964
- 19,917
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya.
1. Wicknell Chivayo. Huyu alitahadhalishwa kwa namna alivyomzoea Rais Samia kwa kukaa nae mikao ya hovyo ili kutia aibu taifa letu lakini hakukoma aliendelea tu. Aliua kwa upanga October 29 lakini na yeye ameondoka kwa upanga.
2. Anjela Kizigha. Mama huyu ana ukaribu wa kutisha na Rais Samia licha ya tuhuma za ufisadi alizonazo ameteuliwa mbunge na kufanywa mshauri wa Rais!
Kwa tunaofuatilia kwa ukaribu sana mambo haya tunajua kuwa maisha ya Anjela Kizigha yamejaa hofu na kuna kila dalili mwisho wake utakuwa wa upanga.
3. Emmanuel Nchimbi. Wote tunajua the rise and fall of Dk Nchimbi.
4. Jakaya Kikwete. Ni Rais msitaafu pekee wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyehai na watu walipaswa kwenda kuchota busara kwake, lakini hali siyo hivyo kwani anaishi kwa ulinzi mkali sana na hamwamini mtu yoyote labda Rais Samia tu.
5. Rais Samia. Huyu aliambiwa wazi kwamba ukilazimisha kuwa Rais kwa utaratibu unaoenda nao kwanza hautawaheshimu watanzania na pili wewe mwenyewe hautaheshimika kimataifa. Rais Samia hakusikiliza na matokeo yake akaweka rekodi ya mauaji ya uchaguzi na hawezi kufanya ziara yoyote Ulaya na America na kuna kila dalili mwisho wake ukawa wa upanga.
6. January Makamba na Nape Nauye. Hawa waliingia kwenye mgogoro mkali na Humphrey Polepole kutokana na hujuma zilizokuwa zinaendelea kwenye ujenzi wa bwawa la mwl nyerere na hujuma kwenye kipindi cha shule ya uongozi maana baada ya kuingia Rais Samia walianza kujiona wao ndio wamiliki wa Tanzania, matokeo yake wote wawili walifukuzwa kwenye nafasi za uwaziri kwa aibu kubwa sana.