Tetesi za Polepole kupewa uongozi wa Juu Nchini

Ni kweli Hii sio Awamu ya SITA maana Aliye madarakani alirithi madaraka ya awamu ya tano
Swali kama ni awamu ya sita lini Rasi alimwapisha waziri mkuu mstafuu? Jibu ni kwamba hajawai kumwapisha kwa hiyo ni Awamu ya Tano la Rais wa sita mambo ya Awamu yana changanya sana Je katiba inasemaje kuhusu Awamu?mwanasheria tupe cote chap msaada
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Kuna kitu kinawauma kuhusu Zanzibar haswa mama kusema kipindi kijacho lazima tuwe na katiba mpya wanakuwa katiba iliafikiwa Zanzibar inasepa wajinga kama taratibu wanakuja juu ililisiafikiwe
 
Hii haiwezi kuwa awamu ya Sita wakati rais aliyeko madarakani kaingia by virtue ya uchaguzi wa 2020 kama mgombea mwenza ukiambatana pamoja na masharti ya katiba.
Wao wanakubali moja tu ya Kama ulimchagua Magu ulimchagua mama ila awamu ya tano kuitwa hawataki
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.

Na iwe hivyo
 
He couldn't pull that big thing alone.
He would be dead less than 24hrs.
Try it alone and you're a dead meat within 12hrs.
Dead within 12hrs!!!!!!! For just airing his opinions!!!!!!!. Are you declaring that there is NO rules of law in your country???? This is Ridiculous.
 
Did you see any logic in abducting his sister?
We are dealing with lunatics.
That is the status quo.
 
Salaam Wakuu,

Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.

Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.

Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.

Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.

Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.

Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.

Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Wapo sahihi saana. Huyu mama hakuchagukiwa yeye kama yeye. Na akipita atasema bado awamu yake ndio imeanza
 
Dead within 12hrs!!!!!!! For just airing his opinions!!!!!!!. Are you declaring that there is NO rules of law in your country???? This is Ridiculous.
What law was broken by Fr. Kitime?
 
Itokee bahati mbaya wahuni kama kina Polepole na wanaowatuma basi makundi yafuatayo yatakula hasara sana
1.Wakula
2.Wafanyabiashara
3.Wafanyakazi(Watumishi wa Umma)
4.Chadomo.

Watakaofaidi Sasa ni machawa wao na wazee wa propaganda ila Uchumi ni most likely utaporomoka maana hao watu watajali zaidi kufanya wajinga.kuwa maskini huku wao wakitukuzwa.
Hata hao wengine hakuna lolote la maana miaka 60 sasa nchi inanuka umaskini, ni aibu nusu ya watanzania kuwa maskini wa kutupwa
 
Back
Top Bottom