Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
Nchimbi ana sifa zote kwa bara
Mapambio ya Lucas Mwashambwa naona yanapungua kila kukicha. Au anaandaa nondo za kujibu press ya mcuba?Nimesikia wale watoto pendwa wa mama Abdul ndani ya serikali wameanza kuhamisha pesa nje ya nchi kwa maandalizi ya makazi yao mapya.
Never underestimate internal power struggle.Dead within 12hrs!!!!!!! For just airing his opinions!!!!!!!. Are you declaring that there is NO rules of law in your country???? This is Ridiculous.
He simply concurred with "No Reforms No Election". May be that could be the main reason.What law was broken by Fr. Kitime?
Namwona Lisu akipita katikati Yao kama wamesimamaSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
SasaAiseeh machawa huko wameanza KUENDESHA baada ya hii nyuzi kusambaa chini kwa chini...
Sasa wahuni akina chiembe, Lucas mwashambwa wataendaje chooniSalaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Miaka 4 hii ya Samia amejatibu Kwa sehemu kubwa kuwekeza Rasilimali na maboresho kubadili Hali za maisha za hayo makundi.Hata hao wengine hakuna lolote la maana miaka 60 sasa nchi inanuka umaskini, ni aibu nusu ya watanzania kuwa maskini wa kutupwa
Pale unapofikiria unaua upinzani kumbe unazalisha upinzani wenye nguvu zaidi na wa kukutetea anakuwa hayupo.Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo mbalimbali Serikalini.
Uchaguzi Mkuu 2025 si rahisi kwa CCM wala si rahisi kwa tume ya taifa.
Watu wanataka Wahuni watoke ndo uchaguzi ufanyike.
Wanasema hii wala sio awamu ya sita bali ni awamu ya tano kipindi cha pili na Uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 ndo Awamu ya 6 ya Urais wa Tanzania.
Wanataka awamu ya sita izaliwe upya bila makandokando ya awamu ya tano.
Ni kawaida kwa Tanzania kila awamu kuja na watu wapya sababu sababu Tanzania ni yetu sote.
Nabado ni mapema sana tutaona mengi tunapomalizia hii awamu ya tano
Why the Citizen can't mobilize themselves to out smart the hooligan Leaders. Seems the Citizens are sick, if not suffering from mental health.Never underestimate internal power struggle.
Tanzanians are lucky we are not under civil war untill now.
I believe what we are witnessing is not government's doing but few outlaws under rogue faction of insane politicians.
Huyu wa Zanzibar ni awamu ya ngapi 5/6Mda utaamua,Haina haja ya maneno mengi lolote linawezekana maana wamejificha tuu kwenye huo utaratibu lakini ishu yao hapa ni Uzanzibar
Hatakwenye korido za lumumba wameanza kuondoka mojamojaMachawa siwasikii tena nashangaa
Umeniandikia mambo ya uongo uongo, alafu namba 4 ukaweka uongo zaidi. Chadema ipi hiyo imepata nafasi wakati wa Samia? Unajua kuwa chadema kwa Mara ya kwanza imezuiwa kabisa kufanya siasa kwa muda usiojulikana.Miaka 4 hii ya Samia amejatibu Kwa sehemu kubwa kuwekeza Rasilimali na maboresho kubadili Hali za maisha za hayo makundi.
1.Hakuishia tuu kutoa ruzuku za pambejeo Kwa wakulima Bali ameenda mbali zaidi Kwa kuwajengea maelfu ya ekari za Umwagiliaji,kuwachimbia visima na kuwatagutia masoko.Kilimo.kwa Sasa ni biashara sio adhabu.
2.Ameletaaboresho makubwa sana kwenye biashara kiasi kwamba hakuna mtu aliyedhukumiwa Kwa Kodi Wala hawakubanwa sana.
Ni katika awamu hii ndipo Kila rekodi imewekwa na kuvunjwa ya watu kufanya maendeymakubwa sana.
3.Kwa Watumishi Kila mtu anajua maelfu ya ajira,kurekebisha vikokotoo vya kina Slowslow na kundi lake,kuongezea mishahara,kupandisha madaraja,kufuta wizi wa bidi ya mikopo nk
4.Chadomo wanapata nafasi ya kupayuka ni Kwa vile Samia sio muhafidhina pamoja na Changamoto zote ila wanajua waliokuwa na pengine yatakahowapata in case Samia hagombei tena.
Niko palee nitakuwa nawakumbusha hatua Kwa hatua
Kuna kesi mahakamani,unajisahaulisha? Kwamba Chadomo mnataka kurudi Kwa kina Mwendazake au muendelee na Samia?Umeniandikia mambo ya uongo uongo, alafu namba 4 ukaweka uongo zaidi. Chadema ipi hiyo imepata nafasi wakati wa Samia? Unajua kuwa chadema kwa Mara ya kwanza imezuiwa kabisa kufanya siasa kwa muda usiojulikana.
Bila aibu kabisa chama kizima kinazuiliwa kufanya siasa kwa muda usiojulikana, alafu unakuja kuandika story za uwongo
6Huyu wa Zanzibar ni awamu ya ngapi 5/6
Nyie ndo wahuni wenyewe
Kwani hao waliompitisha kwenye TV ni kina nani sio CCM?Wenye ccm yao hawamtaki mama mkoloni kaburu toka Zanzibar wanataka mtanganyika awe Rais
mbona iran na israel walikuwa wanaambiana?Ulitaka asemeje? Una miaka mingapi?
Unaweza kumuambia adui yako silaha unazotegemea?
natena yana manyoya nyoyaFala wewe mwenyewe na mama yako. Sura kama matako ya baba yako.
Hiyo kesi mahamakamani inahusianaje na chadema kuzuiwa kufanya siasa?Kuna kesi mahakamani,unajisahaulisha? Kwamba Chadomo mnataka kurudi Kwa kina Mwendazake au muendelee na Samia?
Pili hayo mengine ya uongo yataje twende Kwa mifano na takwimu nikutoe knockout maana haya ndio mambo Huwa nataka tujadili.
SSH mtamshinda Kwa fitina na sio kwenye ground