Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
..... kanywa sumu ili apelekwe hospitali za Tz, kisha hospitali za Tz zishindwe kumtibu, kisha apelekwe nje ya nchi kwa matibabu ambako ataishi daima..... hisia zangu tu!
 
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba huyu bwana ni mzima na yuko kwake

Ndio maana nasema tusubiri kwanza taarifa rasmi maana Bongo uzushi mwingi! Lakini pia hivi sasa tuko katika wakati mgumu anything can happen but we have to be careful...
 
Tumwombee MUNGU JAMANI....Besides,we need him ALIVE

Wakati mwingine naona bora wafe tu kwa kuwa hata wakiishi hawatusaidii chochote,sana sana wataendelea kutuibia tu. Wataishia kukimbia na kujificha tusipopajua au wataamua kugeuka mabubu. Tulimuombea Balali hapa asife ili atuambie ukweli but up to now he has been an absolutely dissapointment. Mkapa is another waste of space! Na hawa wote kwa taarifa yenu hata tukienda mahakamni watashinda, bora wauane wenyewe kwa wenyewe ili tuchukue mali zetu kiulaini.
 
This is classic!!!

Umesahau na waste of walipa kodi's money kuwahudumia.
 
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba huyu bwana ni mzima na yuko kwake

GT can you double-check on your source? We have two conflicting news here...

I had started to analyze this piece:

’’Chenge’s lawyers in the US and UK have been telling people asking questions about his role in the radar deal, that it was actually the Ministry of Defence and National Service and the Ministry of Communications and Transport that were responsible for promoting the sale of the radar system to the government,’’ one informed source told THISDAY.
 
hold on a minute...

Jana nilipata rumour kuwa Karamagi kajinyonga.... na huyo mtu aliambiwa na watu wawili. Nilifuatilia habari hiyo kwa haraka na kuona haina msingi.

Sasa, hadi dakika hii ka nzi ka KLH ambako kanazunguka zunguka Tanzania hakajapata lolote...

Naomba MOD muiweke habari hii with a big question mark hadi itakapothibitishwa vinginevyo.
 
Ni Kweli Sasa Hivi Nimepata Udhibitisho Kwamba Jamaa Wamemtosa Kila Kitu Kinaelekea Kwake Na Mipesa Yote,itachukuliwa Sasa Kamua Kufa Na Kuacha Visenti,mr Dirty Nasikia Hampi Ushirikiano Kama Wa Mwanzo,hakujua Jinsi Ben Alivyo Na Roho Mbaya Ya Devil Woshiper.
 
Inasikitisha lakini hii ya devil worshiper has made my day!
 
Ni Kweli Sasa Hivi Nimepata Udhibitisho Kwamba Jamaa Wamemtosa Kila Kitu Kinaelekea Kwake Na Mipesa Yote,itachukuliwa Sasa Kamua Kufa Na Kuacha Visenti,mr Dirty Nasikia Hampi Ushirikiano Kama Wa Mwanzo,hakujua Jinsi Ben Alivyo Na Roho Mbaya Ya Devil Woshiper.

Ni kweli kanywa sumu au ni kweli Mafisadi wenzie wamemtosa??
Fafanua kidogo hapa please!
 
hold on a minute...

Jana nilipata rumour kuwa Karamagi kajinyonga.... na huyo mtu aliambiwa na watu wawili. Nilifuatilia habari hiyo kwa haraka na kuona haina msingi.

Sasa, hadi dakika hii ka nzi ka KLH ambako kanazunguka zunguka Tanzania hakajapata lolote...

Naomba MOD muiweke habari hii with a big question mark hadi itakapothibitishwa vinginevyo.

Au iondolewe kabisa kwanza, maana mtu anapoiona anadhani ni kweli na inastua mno. Kila ninapoona post mpya nakimbilia kufungua nikidhani kuna uthibitisho lakini hola! Alternatively, zipitishwe kwa moderator akiona kuna chembe ya ukweli atuwekee.

Tulishawahi kuambiwa hapa mtu fulani kafa basi tukaanza kumimina salamu za rambirambi na kuombea marehemu, kumbe haikuwa kweli, watu tukaumbuka wazima wazima! Chonde wakuu!
 
hold on a minute...

Jana nilipata rumour kuwa Karamagi kajinyonga.... na huyo mtu aliambiwa na watu wawili. Nilifuatilia habari hiyo kwa haraka na kuona haina msingi.

Sasa, hadi dakika hii ka nzi ka KLH ambako kanazunguka zunguka Tanzania hakajapata lolote...

Naomba MOD muiweke habari hii with a big question mark hadi itakapothibitishwa vinginevyo.

Kuna sehemu kulikuwa na kichwa cha habari kama hiki"Karamagi ajinyonga" Ni kwa kutoa maelezo Bungeni ambayo hataweza kupata ushahidi.......?
 
Hivi online media za bongo hawana "breaking news" initiative kabisa?

Wanakuwa hawana tofauti yoyote na print media sasa.

Kweli kabisa PUNDIT..nimeangalia angalia kote hakuna kitu na TANZANIA DAIMA ndio kabisa bado wanalo gazeti la jana. Kweli news media imelala "fofofo" Bongo.
 
ADMIN

Source wangu ameconfirm kuwa kuna UTATA kwenye hii habari...naomba uiwekeee question mark kwenye heading

bado niko kwenye simu na SOURCE wangu

WADAU NIWIENI RADHI KWA SASA lakini kila mwenye source aendelee kuangalia kwa undani zaidi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom