Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Hii Mada ifutwe. Moderator mbona umeirudisha. Ibakize kulekule kwenye udaku ambako wengine huwa hatutembelei!!!
 
waheshimiwa mzee wa vijicent ajafa ila alizidiwa wakampeleka lugalo cause ya pressure na alikuwa kwenye chumba maalum kama AMINA CHIFUPA bado twafatilia kama alitoka au la kama mpaka sasa yupo uko atarajie kuchifupwa muda wowote
 
inawezekana ikawa ni uvumi tu lakini hao waliovumisha kupitia kwenye mitandao hawajasema kama amekufa walichosema ni kuwa amekunywa au kunyeshwa sumu na yupo lugalo.

hata hivyo ya kukanusha pia bado haina uhakika maana mambo ya Bongo si tunayafahamu sana marehemu Amina chifupa alipewa sumu naye akakimbizwa hospitali lakini baada ya muda watu wakasema hakuna lolote na anaendelea na shughuli zake lakini baadaye muda tukathibitishiwa na baba yake kwamba kweli ni mgonjwa na yupo huko huko ligalo tulipoambiwa. halikadhalika Who Was Behind Kolimba s death and who was kiranja to close the mishon !!!Tz!!.
 
Kweli kabisa PUNDIT..nimeangalia angalia kote hakuna kitu na TANZANIA DAIMA ndio kabisa bado wanalo gazeti la jana. Kweli news media imelala "fofofo" Bongo.

Kweli hakuna tovuti ya breaking news lakini unaweza kutembelea www.blog.co.tz hapo kuna links za blogu nyingi za kitanzania kama unataka breaking hapo ni kwake .
 
inawezekana ikawa ni uvumi tu lakini hao waliovumisha kupitia kwenye mitandao hawajasema kama amekufa walichosema ni kuwa amekunywa au kunyeshwa sumu na yupo lugalo.

hata hivyo ya kukanusha pia bado haina uhakika maana mambo ya Bongo si tunayafahamu sana marehemu Amina chifupa alipewa sumu naye akakimbizwa hospitali lakini baada ya muda watu wakasema hakuna lolote na anaendelea na shughuli zake lakini baadaye muda tukathibitishiwa na baba yake kwamba kweli ni mgonjwa na yupo huko huko ligalo tulipoambiwa. halikadhalika Who Was Behind Kolimba s death and who was kiranja to close the mishon !!!Tz!!.

yu haikabisa hakuna ubishi. Nenda kwake kapate ushuhuda wa kweli
 
waheshimiwa mzee wa vijicent ajafa ila alizidiwa wakampeleka lugalo cause ya pressure na alikuwa kwenye chumba maalum kama AMINA CHIFUPA bado twafatilia kama alitoka au la kama mpaka sasa yupo uko atarajie kuchifupwa muda wowote

Daktari gani wa lugalo alikuthibitishia haya? keep on dreaming the guy is a hard dying donkey. Atakufa ikifika siku yake na si kwa maneno kwani hata wewe ahadi ikifika hutakuwa jiwe la chumvi siku yako ikifika utaondoka na wala hutaondoka naye, kila mtu kwa wakati na jinsi yake.kwanini mna speculate kwake hamkujui nendeni basi
 
Tuache Udaku Wa Kuua Watu Funga Mjadala Huu Kwani Unaabisha Na Kutuondolea Imani Ya Vyanzo Vyetu Vya Habari
 
waheshimiwa mzee wa vijicent ajafa ila alizidiwa wakampeleka lugalo cause ya pressure na alikuwa kwenye chumba maalum kama AMINA CHIFUPA bado twafatilia kama alitoka au la kama mpaka sasa yupo uko atarajie kuchifupwa muda wowote

WEWEEE WACHA UNOKO WALA HAJALAZWA
 
watu wanatafuta maoni kwamba je akifa atmosphere itakuwaje au nini?Ila inaonekana kweli huyu bwana atafanywa kama kikumbatia bomu wangine wapone.Wapenda pesa hawaoni tabu kumpoteza mwezao kujilinda huyo bwana ataondolewa tu !
 
Kwa kweli nimeamini sisi wa TZ kwa udaku tuna PhD kabisa. Yaani jama ni mzima wa afya halafu madaku akamzulia watu wakatoa michango yao ili kutesti zali. Mimi nahisi ni Chenge mwenyewe alitaka kujua mawazo ya Watanzania kumhusu yeye.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom