Tetesi : CHENGE ANYWA SUMU??!

Status
Not open for further replies.
Taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba huyu bwana ni mzima na yuko kwake

Kama ni kweli kwamba yupo hai na salama, napenda ku-extend furaha yangu binafsi na watanzania wengi kama mie tunaombea awe salama ili angalau afikishwe kwenye mizani, for i bealieve kama haki itatendeka basi huenda miBILIONI ikarudi nchini na sie mafukara tukapata nafuu ya maisha...jamani hiyo mihela ni mingi sana kutuibia, oneni aibu kidogo..na pia huruma kwa sie wanyonge tulio wengi..wakati nyerere akiliengua jina la bwana Ngoyai, alisema wazi kwamba ikulu sio sehemu ya biashara wala matajiri..na pia akajaribu kufafanua ugumu wa kuongoza dola na watu masikini kama Tanzania kwamba ni nchi masikini sana kiasi cha kwamba kila kukicha ni matatizo lukuki..Lakini leo hii uongozi wa Tanzania umegeuka kuwa pepo..yaani mtu akiingia humo basi yeye na wafuasi wake wameukata..dhana hii ya uongozi wa Tanzania ilibadilishwa na huyo bwana MKAa PAle ambaye mwalimu alimbeba bila kujua kilichopo ndani ya ule upara kwenye kichwa cha MKAa PAle..Kwa kweli huyu bwana ninamlaani kwa nguvu zote..
 
Hatutaki watu wafe ovyo ovyo tu. Wabakie waulizwe maswali mkondo wa sheria ufanye kazi.

Nashangaa huu utawala wa Kikwete kwanini usiweke pressure kwa vyombo husika wtu waitwe mahakamani badala kungoka vifo viwatoe wachache mmoja mmoja - si unajua tena kibano toka Donors na Wananchi kimezidi sasa they need to be brutal! Na huko Lugalo hawa waheshimiwa wenye contradictions wakienda huko huwa hawarudi sijui kwa nini!

Taarifa zisizothibitishwa zinasema kuna vigogo wengi wapo Lugalo as we write mida hii na wengine walikuwepo na kuondoka tayari...

Hot topic hii ina 22 members and 23 guests right now. Very fast moving ... 23 ni wale hawataki hata kulog on wanafuatilia kwa karibu...
 
....It is confirmed huyu jamaa ni mzima na yuko nyumbani kwake sasa hivi katulia na familia yake
 
Kufa na kubaki yote ni sawa tu kwa Tanzania
Hivi mnafikilia kuna siku hawa jamaa watapelekwa mahakamani?? hiyo ni ndoto sio chini ya Kikwete, Pinda, Said Mwema, Hosea, Othuman, labda waje viongozi wengine hili linaweza kutokea, lakini sio kirahisi hivi.
 
ADMIN

Source wangu ameconfirm kuwa kuna UTATA kwenye hii habari...naomba uiwekeee question mark kwenye heading

bado niko kwenye simu na SOURCE wangu

WADAU NIWIENI RADHI KWA SASA lakini kila mwenye source aendelee kuangalia kwa undani zaidi

mmmmmmmhhh!!
 
Mtuhumiwa kama Mwizi wa Mbuzi au Mkate akkitiwa polisi right now yupo Jela.

Hawa jamaa zetu wanatuhumiwa bado wako kwenye maintercooler 4x4 kwenye mi mansion yao.

Kikwete ni better achukue LEAF sasa awatose jamaa woote na wananchi na Jeshi will keep supporting him and that perhaps people will samehe hata kama chama chake ndio kimemweka hapo kwa funds za Kampeni zisizoeleweka na zenye kukaa karibu na siku za BOT/EPA dates za pesa kutoka.

JK - Walahi tena watose WOOOTEE NOW... time is not on your gorvernment side pamoja na all lip service kila mtu anatoa
 
ADMIN

Source wangu ameconfirm kuwa kuna UTATA kwenye hii habari...naomba uiwekeee question mark kwenye heading

bado niko kwenye simu na SOURCE wangu

WADAU NIWIENI RADHI KWA SASA lakini kila mwenye source aendelee kuangalia kwa undani zaidi

GT unashusha status yako ndugu!
Member kama wewe hatutegemei uweke nyuzi ambazo hazina uhakika
Hizi wanatakiwa waweke akina Shy, Kadampinzani na Chinga, ila sio wewe bwana!
Lakini its OK. maana mimi naona sawa tu, kwani hata kuwa hai hakusaidii kitu, maana tusitegemee mihujiza kwa Mafisadi kutoka katika serikali ya Fisadi Mkuu Kikwete
 
Conflicting news tunapata, tusubiri kidogo tuone mwisho wake. Vinginevyo ngoja tuendelee kukata issues kwenye threads zingine
 
Kufa na kubaki yote ni sawa tu kwa Tanzania
Hivi mnafikilia kuna siku hawa jamaa watapelekwa mahakamani?? hiyo ni ndoto sio chini ya Kikwete, Pinda, Said Mwema, Hosea, Othuman, labda waje viongozi wengine hili linaweza kutokea, lakini sio kirahisi hivi.

Mimi nilikuwa nimejiaanda kufurahia hapa kwa kifo cha Chenge (call me whatever) ila naona jamaa wameahirisha sherehe yangu.

Huko bongo watu wengi wanataka Chenge afe au apate adhabu kubwa sana kwa aliyofanya na mzee wa vijisenti yeye aendelee kuhesabu siku tu kabla hajafika kwa ultimate judge - MUNGU
 
Vyovyote itakavyoishia habari hii, nakuombeni sana mnaotuletea habari mbalimbali muwe mnatofautisha "breaking news" na "uvumi" au "fununu". Unapoanza na maneno "breaking news" unamaanisha ni habari ya kweli ambayo imetoka hivi punde, umewahi kutupatia. Lakini kwa hii hapa haionekani kuwa hivyo. Naomba moderators mtusaidie katika hili.

Kama habari ni "uvumi" au "fununu" tu (ambazo bado zina nafasi ya kuwa za kweli au uongo), ioneshe hivyo kwenye heading, ili kama msomaji ana source zake za kuthibitisha aweze kuwasiliana nazo kabla ya kuchangia. Au hata kama sina nafasi ya kuongezea usahihi wa hiyo habari, nijue tu toka awali kuwa bado ni uvumi.
 
Kulikuwa na function kwa mzee Mwinyi leo na habari hizo ndipo zilipoanza kusikika kama mnong'ono.... Watu wakaanza kutextiana na wengine kumpigia simu. Mwanzoni alishangazwa na habari hizo lakini sasa amezima simu...
 
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.
 
Ndiyo confirmed report ni kuwa Chenge ni mzima wa afya na anawatakia wabaya wake mara mbili ya wamtakiayo!... tuna kazi.
 
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.

Umeingia leoleo na kuanza kusuta watu? Kwako ufisadi ndio kuwekeza? Unakuja vibaya ndugu, angalia vizuri!
 
Mtasubiri anywe sumu mpaka kiama yu mzima kabisa. Wakati mwenzenu anawekeza kwenye vitega uchumi nyie mnawekeza kwa mabinti. All u can get from mabinti ni ukimwi au watoto, nothing more.

Mkuu,

Sasa nawe waleta uvumi "unless" unao ufahamu kuhusu huyu jamaa.

Unaweza kutuambia huyu mheshimiwa amewekeza katika vitega uchumi gani katika Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom