TCRA watajuaje kama natumia VPN?

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
View attachment 2781980

Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja.

Lakini watu wengi wamejiuliza maswali wanawezaje kujua kama natumia Vpn Kwenye simu au kompyuta?? Leo nakujuza japo kwa uchache TU si unajua Teknolojia ni Yetu sote .

tcrav%20%E2%80%93%201.jpg

Vpn kirefu chake ni Virtual private network Kazi yake ni kumfanya mtumiaji wa intaneti kuwa Salama kwa kuficha utambulisho wake wakati anatumia mtandao kufanya shughuli Fulani.

Watu wengi utumie Vpn kuingia kwenye website (tovuti) , apps au sehemu ambazo zimezuiliwa au huduma ambayo nchi au eneo uliyopo hauwezi kutumia ndipo watu utumia Vpn kuingia maana taarifa nyingi za kibinafsi zinakua zinafichwa.

View attachment 2781984

View attachment 2781983

Unajua ISP(Internet service provider) q anatumika sana Kwenye masuala mbalimbali ya intaneti kwani yeye ndo anatupa ruhusa ya kutumia Netflix, kuchati , kutuma email kufanya Chochote Kwenye intaneti.

Kiufupi TU Unapojiunga Kwenye Vpn Tcra kupitia ISP ambao ni Tigo, voda, Airtel, halotel wanajua unatumia Vpn na umejiunganisha lakini hawajui nini unachokifanya ndani yake kwa sababu taarifa zote zilizopo ndani ziko very Encrypted na haiwezekani kujua kilichopo ndani.

View attachment 2781981

ISP anaweza kujua vitu kadhaa TU Kwenye Vpn
• kiasi gani Cha data umetumia ulipojiunga na Vpn
• Ni muda gani umetumia Kwenye kujiunganisha na Vpn
• Isp anajua umefungua google chrome lakini hajui ndani ya Google chrome ume search kitu gani nk.

Kikubwa unapotumia Vpn tumia Kwenye matumizi yaliyo sahihi sio kutumia Kwenye matumizi ambayo yanavunja sheria kwa namna moja au nyingine.

Nasimama na Tcra Kwenye hili.
 
Kuna group la waganga limeandaliwa like manyaunyau so jiandae,wataanza kupita mtaani itakuwa kivumbi mtaani watakimbizwa mpk wazee navitambi vyao..😂
 
Mambo Gani ukifanya Kwa Kutumia VpN TRA hawakugusi mfano Mimi natumia kuingilia JF na social media zingine

Nadhani kama ukiingia kwenye zile zilifungiwa na serikali hapo unakuwa umekiuka Sheria sio
 
Zitatumika internet zao, VPN zitatumika na hawatajua hata kwamba VPN zinatumika...
 
KUNA HAJA YA KUDAI UHURU!
... SI KWA KUFUATILIANA HUKU!
NAPE MNAUYE MWANANGU VIPI KUTUSAHAU HIVYO WAPAMBANAJI WENZAKO?
1697305531969.png
DARTH VADER CHA MTOTO ... BONGO BHANA!!!?
 
View attachment 2781980

Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja.

Lakini watu wengi wamejiuliza maswali wanawezaje kujua kama natumia Vpn Kwenye simu au kompyuta?? Leo nakujuza japo kwa uchache TU si unajua Teknolojia ni Yetu sote .

View attachment 2781985

Vpn kirefu chake ni Virtual private network Kazi yake ni kumfanya mtumiaji wa intaneti kuwa Salama kwa kuficha utambulisho wake wakati anatumia mtandao kufanya shughuli Fulani.

Watu wengi utumie Vpn kuingia kwenye website (tovuti) , apps au sehemu ambazo zimezuiliwa au huduma ambayo nchi au eneo uliyopo hauwezi kutumia ndipo watu utumia Vpn kuingia maana taarifa nyingi za kibinafsi zinakua zinafichwa.

View attachment 2781984

View attachment 2781983

Unajua ISP(Internet service provider) q anatumika sana Kwenye masuala mbalimbali ya intaneti kwani yeye ndo anatupa ruhusa ya kutumia Netflix, kuchati , kutuma email kufanya Chochote Kwenye intaneti.

Kiufupi TU Unapojiunga Kwenye Vpn Tcra kupitia ISP ambao ni Tigo, voda, Airtel, halotel wanajua unatumia Vpn na umejiunganisha lakini hawajui nini unachokifanya ndani yake kwa sababu taarifa zote zilizopo ndani ziko very Encrypted na haiwezekani kujua kilichopo ndani.

View attachment 2781981

ISP anaweza kujua vitu kadhaa TU Kwenye Vpn
• kiasi gani Cha data umetumia ulipojiunga na Vpn
• Ni muda gani umetumia Kwenye kujiunganisha na Vpn
• Isp anajua umefungua google chrome lakini hajui ndani ya Google chrome ume search kitu gani nk.

Kikubwa unapotumia Vpn tumia Kwenye matumizi yaliyo sahihi sio kutumia Kwenye matumizi ambayo yanavunja sheria kwa namna moja au nyingine.

Nasimama na Tcra Kwenye hili.
Kama sheria ya nchi itakataza matumizi ya VPN basi tambua kwamba watumiaji wa VPN , hasa wale wanaolengwa hawatatumia hizi VPN cheap. Zipo VPN ambazo mtumiaji anaweza akapatiwa hiyo huduma ya kutotambulika kama ameunganishwa.

So, katika hili kama kuna big fishes waliwalenga, basi warudishe mpira kwa kipa wakaanze upya.

Ila kama walilenga kuwadhibiti watanzania hawa akina Sukununu, na akina baba Ndubwi na akina Ustaadhi Chogo, basi watakuwa wamefanikiwa kwa 100%.
 
Swali lako ni Pana japo sijajua namjibu nani.
Ila
1. Huwezi jua natumia VPN
2. Huwezi nipata.

IP address tulizungumzia kitambo sana tumia JF search vizuri kuepusha mrundikano wa mada.
Bongo hatuna static IP addresses ila tunatumia dynamic addresses na ndio mana mm nakujibu bila bundle kwasabu ya weaknesses za ISP.
Na hii inasaidia wao kufanya kazi na kujua vulnerability zao na kufix loopholes.

Sasa kama mm ni IT student utanizuiaje nisitumie VPN ikiwa natakiwa kupewa homework na lecture kuhusu VPN ?

Tuheshimu sheria za nnchi ndio kikubwa japo tunatakiwa tujifunze
 
Mambo Gani ukifanya Kwa Kutumia VpN TRA hawakugusi mfano Mimi natumia kuingilia JF na social media zingine

Nadhani kama ukiingia kwenye zile zilifungiwa na serikali hapo unakuwa umekiuka Sheria sio
1. wanajua kwamba unatumia VPN, logs zote ISP wako anazo, mda gani umewasha VPN, anaona VPN server's IP ambayo umekuwa connected to, na kiasi gani cha data umetumia kwa mda uliowasha VPN

2. hawajui sites (iwe jF au xxx) gani umetembelea kila unapowasha VPN, maana VPN ina encrypt traffics zote na keys zote zinabaki kuwa private
vinginevyo neno Private, kwenye Virtual Private Network linakua halina maana
 
Kama sheria ya nchi itakataza matumizi ya VPN basi tambua kwamba watumiajinwa VPN , hasa wale wsnaolengwa hawatatumia hizi VPN cheap. Zipo VPN ambazo mtumiaji anaweza akapatiwa hiyo huduma ya kutotambulika kama ameunganishwa. So, katika hili kama kuna big fishes waliwalenga, badi warudishe mpira kwa kipa wakaanze upya.
Ila kama walilenga kuwadhibiti watanzania hawa akina Sukununu, na akina baba Ndubwi na akina Ustaadhi Chogo, basi watakuwa wamefanikiwa kwa 100%.
Hata PakaJimmy
 
View attachment 2781980

Siku ya ijumaa mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania iliweza kutoa tamko juu ya matumizi ya VPn nchini ni kosa la jinai hivyo unaweza kufungwa au kutoa faini ya milioni 5 au vyote kwa pamoja.

Lakini watu wengi wamejiuliza maswali wanawezaje kujua kama natumia Vpn Kwenye simu au kompyuta?? Leo nakujuza japo kwa uchache TU si unajua Teknolojia ni Yetu sote .

View attachment 2781985

Vpn kirefu chake ni Virtual private network Kazi yake ni kumfanya mtumiaji wa intaneti kuwa Salama kwa kuficha utambulisho wake wakati anatumia mtandao kufanya shughuli Fulani.

Watu wengi utumie Vpn kuingia kwenye website (tovuti) , apps au sehemu ambazo zimezuiliwa au huduma ambayo nchi au eneo uliyopo hauwezi kutumia ndipo watu utumia Vpn kuingia maana taarifa nyingi za kibinafsi zinakua zinafichwa.

View attachment 2781984

View attachment 2781983

Unajua ISP(Internet service provider) q anatumika sana Kwenye masuala mbalimbali ya intaneti kwani yeye ndo anatupa ruhusa ya kutumia Netflix, kuchati , kutuma email kufanya Chochote Kwenye intaneti.

Kiufupi TU Unapojiunga Kwenye Vpn Tcra kupitia ISP ambao ni Tigo, voda, Airtel, halotel wanajua unatumia Vpn na umejiunganisha lakini hawajui nini unachokifanya ndani yake kwa sababu taarifa zote zilizopo ndani ziko very Encrypted na haiwezekani kujua kilichopo ndani.

View attachment 2781981

ISP anaweza kujua vitu kadhaa TU Kwenye Vpn
• kiasi gani Cha data umetumia ulipojiunga na Vpn
• Ni muda gani umetumia Kwenye kujiunganisha na Vpn
• Isp anajua umefungua google chrome lakini hajui ndani ya Google chrome ume search kitu gani nk.

Kikubwa unapotumia Vpn tumia Kwenye matumizi yaliyo sahihi sio kutumia Kwenye matumizi ambayo yanavunja sheria kwa namna moja au nyingine.

Nasimama na Tcra Kwenye hili.
Naona ndio maana wanambania bwana X(elon musk) kuleta intaneti yake
 
Back
Top Bottom