Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,685
Naona unatoka nje ya mada mkuuutakwe radhi vipi? mijitu mingine bana?? mkielezwa ukweli mnaombwa mtakwe radhi
Naona unatoka nje ya mada mkuuutakwe radhi vipi? mijitu mingine bana?? mkielezwa ukweli mnaombwa mtakwe radhi
Nakubaliana na wewe, serikali kilifanya kuwa ni mandatory kwa kila anarusha matangazo ya Tanzania, lazima anazirushe zile TV 5 bure!. Hata kama wanarushia matangazo Afrika Kusini, wana jinsi ya ku beam Tanzania ili decoder yoyote utakayonunua, iwe Zuku, DSTV au yoyote zile 5 channels ziwe mandatory!.Mkuu Pasco,
Nashukuru saana kwa ufafanuzi wako, ingawa umetumia a lot of technical terminologies zinazotoa picha kuwa kuwa jambo hilo ni gumu sana na haiwezekani kwa hawa jamaa kuingiza hizo 5 local channels kwenye vingamuzi vyao vya DSTV.
Mimi bado naamini kuwa haijarishi hayo matangazo ya DSTV yanarushwa kutoka wapi, eidha ni South Africa, au Bongo kikubwa hawa jamaa wanafanya biashara hapa kwetu na and theyre making a lot of money, umeifka wakati sasa Serikali isimamie mchakato (ikibid kuwalazimisha) wa hizo local channels kuonekana na kwenye DSTV Decoder, ambapo kwa sasa zaidi ya 99% ni channel za nje (hii kitu utaikuta Tanzania tu)
Hapo kwenye Red: Je pale ambapo wanaporusha hayo matangazo ya TBC kwa kutumia hiyo uliyoiita 'Service licence only', huwa wanakiuka masharti ya leseni yao?!! Anyway, if that the case, TCRA ilitakiwa iwapatie licence (technically sijui inaitwaje ) ambayo itawawezesha kupokea local contents na kuzingiiza kwenye Decoder zao kwa manufaa ya mlaji ambaye ni mtanzania, na hizo local channel ziendelee kuonekana bure hata kama account ya mteja haina hela.
Wakati mwingine kwenye hii biashara huria, Serikali inatakiwa iwe na mkono wake kuweza ku-regulate mambo, kama ambayo Serikali mefanya ubabe wa kulazimisha hizo hizo 5 local channels ziwe za free, kumbe inawezakana kukaa nao meza moja na ku-harmonize hii kitu, kama haiwezekana ni kuwalazimisha na wakishindwa wachape mwendo (japo hii opotion ya mwisho, naamini itakuwa ngumu saana kwani kuna baadhi ya wakubwa wana 10% zao)
mkuu hapo issue ni antena tu... mimi TBC 1 na 2 ndo zina stack balaa ila hizo nyingine shwari kabisa.Wale wasio na uwezo wa kununua satelite dish unawashauri nini?
Btw, mimi kwa upande wangu tbc na channel ten ziko poa lakini itv, eatv na startv ndio mzozo. Matangazo yake yalikuwa yanastuck mara kwa mara lakini baadae yakakata kabisa (no service). Nimejaribu kupiga customer care hakuna msaada wowote.
kweli shibe mwana malevya!Mkuu uko nchi gani wewe?, yaani matangazo yote yale yaliyotolewa na TCRA wewe bado hujaelewa!.
King'amuzi ni kimoja tuu utaona TV zote tano za "free to air" bure!.
Mpaka sasa kuna makampuni matatu ya kurusha matangazo, Star Media, Agape Associets "ting" na kampuni ya Mengi na Dialo ambayo king'amuzi chao bado hakijaingia sokoni, ila kimeanza kutangazwa!.
Ukishanunua king'amuzi chochote, hizo TV tano za bure utaziona bila kulazimika kuzilipia na zitaonekana kwenye ving'amuzi vyote vitatu, hivyo uko huru kuchagua kununua kingamuzi chochote kati ya hivyo!.
Mfano kingamuzi cha Star media hawana chanel ya movie ya HBO, kama wewe ni mpenzi wa HBO, huna jinsi, lazima ununue king'amuzi cha Agape!. Huko pia utaziona bute zile tv tano za bure!.
By choice, kama unataka usipitwe kitu, na unapenda mambo mazuri yote, then utavinu nua ving'amuzi vyote vitatu?.
Mimi nilianza na kingamuzi cha Easy TV, nikaja cha DSTV, Sasa ninacho cha Star Media, my boys wanapenda movies za HBO hivyo soon nitanunua cha Agape!.
Wengi wa Wakazi wa Dar, tunapenda zaidi starehe kuliko kuzijali familia zetu!, mimi nakunywa Sinza, kuna bar 250 na zote zinajaa, kwa nini tushindwa kulipia king'amuzi elfu 10 kwa mwezi?!.
Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco.
kaka unaponiambia 'dish' nakumbuka nilivyokuwa naogeshwa na mama enzi hizo.fafanua kama wewe ni mtumishi wa TCRA.
Dish lipi?mbona mlituambia king'amuzi ?tuwe serious katika hili!
Mimi nazipata zoote zinazorushwa kwa sattelite tena vizuri bila chenga. Nunua sattelite dish utapata channel mpaka utakimbia halafu asilimia kubwa kama sio zote za sattelite ni Digital. Mimi nnakauelewa ka kuyarekebisha hayo madish kwa msaada tuwasiliane kwa namba 0767-387560
ITV na Star tv unazipata?
ni zaidi ya viwili mkuu.
star tv
itv
clouds
tbc
channel ten
mlimani tv
Ni aibu kwa TCRA. Nchi hii bora liende! Local channels hazipatikani kwenye ving'amuzi, na hata zikipatikana baadhi zinakuwa hazina sauti. Shame on you!
Mkuu Meni', hivi si nimekujibu hivi?!,kweli shibe mwana malevya!
Sina hakika kama uliwaelewa TCRA au unafanya makusudi kwa kuwa umelamba kibahasha.
Imagine mimi nitanunua ving'amuzi vitatu halafu kuna babu yangu pale kisarawe,kuna baba mdogo,wajomba n.k
hili zigo la gharama litanirudia mimi tu na bado uhuru wa habari utakuwa umeminywa!
Pasco fikra zako ni za ki TCRA au kimasaki masaki hivi!
Mkuu uko nchi gani wewe?, yaani matangazo yote yale yaliyotolewa na TCRA wewe bado hujaelewa!.
King'amuzi ni kimoja tuu utaona TV zote tano za "free to air" bure!.
Ukishanunua king'amuzi chochote, hizo TV tano za bure utaziona bila kulazimika kuzilipia na zitaonekana kwenye ving'amuzi vyote vitatu, hivyo uko huru kuchagua kununua kingamuzi chochote kati ya hivyo!.
Pasco.
Naangalia ITV na EATV zooote hazina sauti SHAME ON THEM sijui ni hujuma kwa IPPMEDIA kutoka kwa hawa TBC??? Maana Startime ni wadau wao?
TBC1, STAR TV, ITV, EATV, CHANEL 10 chanel hizi zinapatikana bure kwenye kingambuzi cha star times nina zaidi ya mwezi sijalipia na nazipata
sijui matangazo ya radio nayo yataingia lin dijitali?
Du misamiati imekuwa mingi, hizo red red nayo ndiyo mdudu gani? Mnatuchanginyi!
Haya yote tulipaswa kuyajadili kabla analogy haijazimwa.