mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,925
- 8,444
Je hao TCRA wakiongeza muda ndio kila mtu atakuwa na uwezo wa kununua ving'amuzi wacha wafunga hiyo analog sababu dunia nzima itakuwa mwisho 2015 na afadhali wameanza sasa kila mtu atatkumbuka kuliko wasubiri hadi 2015 kwa sisi waaafrika hatufanyi mambo kwa hiari yetu hadi tushikiwe bakora,hata kusajiri simu ni hivyo hivyo,heri lawama lakini utekeleze kuliko kumchekea nyani shambani utakuta mabua