Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,162
- 128,846
Mkuu, authorized multiplex operators mpaka sasa ni watatu tuu, Star Media, Agape Associets na Mengi na Dialo, mpaka sasa ving,amuzi vilivyopo sokoni ni cha Star Media kinachoitwa Star Tmes, na cha Agape kinaitwa Ting, cha Mengi na Dialo kinatangazwa tuu ila bado hakijaingia sokoni!. DSTV, ZUKU na Easy TV wao hawapo kwenye mpango huu!.Mjadala ni mmoja tu ambao mpaka sasa sijaona aliyejibu....je mtanzania wa kisarawe anunue kinga'muzi gani aweze kujipatia habari 'bure' tena kutoka kwenye hizi local channels?
Kama hili 'dili' ni la star times tuwekane wazi.
Hivi ofisi za serikali zitatumia kinga'muzi gani....labda nirahisishe swali kwa namna hii.
Sasa ili kuzipata hizo tv tano za bure, unahitaji kununua king'amuzi kimoja tuu kati ya hivyo!.
Kingamuzi cha ofisi za serikali ni kile king'amuzi cha waserikali!.
TV zinazoonekana ZUKU na DSTV zote ni za kulipia!, hakuna bure kule!.
Kwa kuongezea tuu, signal niliokuwa naipata ITV direct ikiwa free to air ni strong kuliko ITV inayoonekana kwenye kingamuzi cha Star Time, sababu, matangazo yanayorushwa na ITV kwenda Star Time, ni matangazo ya analogia ila yatangwa kwenye mfumo wa Digitali!. King'amuzi cha ITV na Star TV kikitoka, kitarusha digital kwenye HD, hivyo ITV na Star TV, picha zitakuwa clear kama DSTV.
Pasco.