Mntu wa Murungu
Senior Member
- Nov 24, 2018
- 176
- 141
Washughulikie kwanza UCHAFU uliokithiri wa picha /maneno na takataka zote zinazoendelea mitandaoniHakuna watu wapuuzi nchi hii kama TCRA wamekaa ofisini kazi kutoa matamko
Washughulikie kwanza UCHAFU uliokithiri wa picha /maneno na takataka zote zinazoendelea mitandaoniHakuna watu wapuuzi nchi hii kama TCRA wamekaa ofisini kazi kutoa matamko
mimi nilisema hiv: mpaka line zangu zianfike no service au emergeny call ndio wataiona sura yangu ma_ofcn mwao tofauti na hapo sifanyi upumbavu wa kwenda kupanga foreni mimi...
Cha ajabu kwenye requirement za ID wanataka tutumie national ID ambako tayari kuna fingerprints zetu. Why wasifanye integration ya hizo systems mbili. Why kuwe na duplicate fingerprints TCRA na NIDA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaweza tumia kitambulisho chako cha NIDA kusajili line na hiyo laini akatumia mtu ambaye sio wewe. Sasa endapo wakitumia fingerprint za NIDA bila kukuchukua alama za vidole upya kama unavoshauri huoni kuwa utakuwa linked kwenye tukio la uhalifu ingawa wewe mwenyewe si muhusika bali kimetumika kitambulisho chako tu kusajilia laini ambayo imehusishwa na uhalifu?Nimeenda kusajiri line wakachukua saini yangu, wakapiga picha yangu passport size, copies za IDs zangu
Alafu naona sms kuwa niende tena kusajiri upya
Kiukweli SITAENDA wacha wafunge tu line
NIDA walichukua alama za vidole
NEC walichukua alama za vidole
bado TCRA nao tena?
Kwani alama za vidole huwa zina tabia ya kubadilika baada ya muda?
Hawawezi kuchua kutoka kwa wenzao NEC, NIDA?
Alama za vidole ni unique
kila mtu na zake dunia nzima!
sasa zimewachanganya?
Hapa kwa kweli kila mtu ana mwisho wa uvumilivu wake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uchambuzi dhaifu mkuu. Kwa muktadha wa usalama, suala uliloeleza ni hatari sana, watu watabambikiziwa sana kesi.Mtoa mada una hoja nzuri sana ..... INTEGRATION ya hizi system automatically ingefaa zaidi kuliko sisi wananchi kupoteza muda mwingi kwenye foleni
Yaani kwa kuwa ID ya NIDA ina fingerprint zetu na zimehifadhiwa kwenye kanzidata(database) basi ni rahisi kuzihamishia kwenye mfumo wao hao TCRA... yaani akiingiza namba yangu ya kitambulisho mfano 19900101-5897569-123456 inaleta details zote na hizo alama za vidole, kwa hiyo ni kitendo cha kuzihamishia hizo taarifa kwenye profile mpya ya TCRA as SIMPLE as that..
SEMA SASA SIJUI WATANZANIA TUNAKWAMA WAPI?
Naunga mkono hojaView attachment 1073902
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imesema lengo la mfumo mpya wa usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole linatokana na kuwepo kwa idadi kubwa ya wananchi waliosajili laini kwa kutumia vitambulisho feki.
“Kuanzia Mei Mosi mwaka huu, wananchi wote wanatakiwa kusajili laini zao kwa mfumo huo, na laini ambazo hazitasajiliwa zitafungiwa pindi tutakapotangaza muda wa ukomo.
“Tunatambua kwa kutumia mfumo huu, itaondoa udanganyifu mkubwa unaosababisha kuwepo kwa ugumu wa TCRA katika kudhibiti vitendo vya uhalifu kwa kutumia mitandao,” amesema Mhandisi Mihayo.
Aidha Mihayo amesema katika mfumo huo wananchi watatakiwa kwenda na kitambulisho cha uraia au namba ya kitambulisho kwa ajili ya kusajili laini zao.
Hayo yamelezwa leo na Meneja wa Mamlaka hiyo Kanda ya Ziwa, Francis Mihayo, wakati wa kuzindua kampeni ya kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa mfumo huo mkoani wa Simiyu.
Nyie ndio majitu mnaopata ZERO kwenye NECTA!! Maelezo yanasema vile, wewe unabwabwaja upupu! Umeambiwa fingerprints are nothing kwenye security, zaidi sana patatokea hasara ya mapato maana sio kila mtu atamudu hizo procedures!Mkuu hutaki kutambuliwa? Fingerprints ni kwa ajili ya kukutambua in relation to that Simcard. Bado fingerprints zinatumika nchini mwetu kumtambua mtu hata huko ulaya bado wanawatambua raia wao kwa njia ya fingerprints na DNA. Acha waanze kwanza kututambua kwa fingerprints. We need to start from somewhere mkuu!
Mkuu hutaki kutambuliwa? Fingerprints ni kwa ajili ya kukutambua in relation to that Simcard. Bado fingerprints zinatumika nchini mwetu kumtambua mtu hata huko ulaya bado wanawatambua raia wao kwa njia ya fingerprints na DNA. Acha waanze kwanza kututambua kwa fingerprints. We need to start from somewhere mkuu!
Kumbuka Kampuni za Simu ni private sector na NIDA ni Gov. Hivyo huwezi kuzilink system zao mkuu kuogopa usalama wa data.Wana namba za simu NIDA ambako wana picha mpaka finger print zako, wanajua wazazi wako shule ulizosoma na utambulisho wako wote, na walijitanabahi kuwa hivi vitambulisho vya NIDA ni digital haswa, sasa nini kinawashinda kulink hizo database mbili? ikiwa NIDA wanazo?
Naweza weka fingerprint zangu na still laini ikatumiwa na mwngneFinger print ni kwa ajili ya kumtambua na kumthibitisha mtumiaji wa line
Sent using Jamii Forums mobile app
Ownership itakuwa bado iko kwako na utakuwa responsible kwa lolote litakalotokea kupitia simcard hiyo!
Kumbuka Kampuni za Simu ni private sector na NIDA ni Gov. Hivyo huwezi kuzilink system zao mkuu kuogopa usalama wa data.
Mkuu hapo anayetaka data ni Kampuni za Simu kutoka NIDA ili aweze kulink na Database zao wala si NIDASerikali inauwezo wa kuomba data base hizo kisheria kabisa na ikapata. Wanafanya biashara Tanzania wameafiki kufuata sheria za Tanzania, ni uzembe tu.
Mbona TRA kwenye leseni za kuendesha vyombo vya moto wanachukua finger print?Cha ajabu kwenye requirement za ID wanataka tutumie national ID ambako tayari kuna fingerprints zetu. Why wasifanye integration ya hizo systems mbili. Why kuwe na duplicate fingerprints TCRA na NIDA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani sasa hivi ikoje?Ownership itakuwa bado iko kwako na utakuwa responsible kwa lolote litakalotokea kupitia simcard hiyo!
Mkuu hapo anayetaka data ni Kampuni za Simu kutoka NIDA ili aweze kulink na Database zao wala si NIDA