GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.
Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani (Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?
Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.
Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu (sasa Wastaafu) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao (hata kama ni za Kuigiza) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.
Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.