TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

Back-to-back

Member
Jun 25, 2021
31
125
Huo ni mtazamo wako na uelewa wako
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ( iliyoigizwa ) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.

Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani ( Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?

Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.

Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu ( sasa Wastaafu ) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao ( hata kama ni za Kuigiza ) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.

Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.
 

koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
667
500
Mimi Nafikiri hili la kutumia sauti ya Rais aliyemadarakani au aliepita sio tatizo kweni Rais ni public figure na ni mali yetu la kuzingatia lisitumike katika kushalilisha wengine au kumdhalilisha Rais alie au asie madarakani. Ili kupata public attention vitu kama hivi hutumika la msingi ni kumshirikisha kwa kumtaarifu kwa asie madarakani au kuomba kibali cha mamlaka ya Urais kwa alipo madarakani.
 

koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
667
500
Tukumbuke hotuba, majarida na sauti za viongozi wetu huhifadhiwa kwa minajili ya Umma na vizazi vijavyo. Ni public property na sio mali binafsi ya Rais. Vitu hivi vinaweza kunukuliwa ili kuleta au kujenga hoja katika hotuba nyingine, majarida au hata thesis za kitaaluma. Vibali maalumu vyaweza kuhitajika kutoka National archives kama sijakosea. Mwenye uelewa zaidi aongezee hapa.
 

nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,230
2,000
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Jibu hoja
Jibu hoja
Tukuelewe
Acha kubwabwaja
Kwa mpalange ni yombo
Na ni jina la mtu hayo mengine yanatoka wapi
Wajinga wachache kwa mawazo yao ya kijinga wanataka kutulazimisha kuharibu lugha yetuSent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
3,270
2,000
Mnausakama mtaa wetu Kwampalange mbona buza kubwa kuna Kwa Limboa na Kwa Lulenge mmeshupaza shingo kwa Kwampalange tu.
 

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,513
2,000
Mwenye kuigiziwa Sauti yake anasemaje?
Huenda kuna vijisenti anakamua kupitia tangazo kwenda hewani
 

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
4,300
2,000
Halafu hawa Klauzi wanalo lile tangazo la Tigo linalosema "cha asubuhi".

Nchi hii ipo morally corrupted totally. Ndiyo maana tunapoteza hata marais wakali wapo madarakani. Mungu hapendi hivi, damn!
...na TTCL na 'Nitie Nikutie' yao??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom