TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.

Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani (Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?

Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.

Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu (sasa Wastaafu) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao (hata kama ni za Kuigiza) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.

Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.
Huko sahihi kabisa Gentamycine. Kama neno hilo kwa baadhi ya WaTanzania wanalielewa tofauti na ni HASI basi TCRA na CLOUDS wenyewe watafute njia nyingine sio kutumia sauti ya Mh JK.
 
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Ila wewe mzee, hawa wapuuzi wakati mwingine ukiwajibu na wewe unaonekana ni mpumbavuu kama wao tuu
 
Jamani hata kama hilo eneo lipo lakini kwa sasa neno kwa "mpalange" ndo linatumika kama watu kufanya ngono kinyume na maumbile,,mtoa post yuko sahihi hata wadada poa wanafanyiwa mahojiano tunawasikia wanasema kwa "mpalange" ni kuzuri na wanapapenda
 
Back
Top Bottom