LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,150
- 11,196
Ni muda muafaka Wafanyakazi wa hizi taasisi kupunguzwa or kupunguziwa mishahara kabisa kulingana na utendaji wao wa kazi usioridhisha
Kwa sasa Tz tukubali kuwa tumekuwa ni Dampo la kutupiwa vitu feki na vibovu kutoka China, Mchina analeta bidhaa nyingi sana feki tz, Kuanzia Kariakoo na maduka mengi nchi nzima kumezagaa bidhaa ambazo zipo chini ya kiwango na nyingi ni feki, ukipita kariakoo vitu vingi ni feki , kuanzia nguo, viatu, vifaa vya umeme ni feki , unanunua nguo inafuliwa mara mbili haivaliki tena, vifaa vya umeme havimalizi mwaka vinaungua
Hata kama mchina analeta vutu kilingana na hali halisi ya kipato lakini kuna bidhaa nyingi hazifai hata kununua ni feki ni heri asizilete kabisa
Je Tbs ipo kazini au wamelala, sasa wameajiriwa kwa kazi gani kama bado tunaletewa bidhaa feki na zimezagaa madukani na wao hawafuatilii , je vitu feki vinavyotoka China hadi kuingia tz kama vinapitia Bandarini je kuna utaratibu wa kuvipima kabla havijamfikia mnunuzi ambae ni mwananchi?, Na kama upo hivi vitu feki vinapenyaje hadi vinamfikia mlaji?
Ukiingia kwnye maduka ya vipodozi kuna vipidozi na parfume feki zimezagaa hovyo na hazina nembo ya TBS , je hizi bidhaa zimepitia wapi na hamuoni kuwa ni hatari kwa watumiaji , ukiingia kwenye masupermarket na maduka mengi kuna vyakula vya makopo vingi sana vinaonekana vimetengenezwa nnje je TFDA huwa wana mda wa kukagua na kuvifanyia tafiti kuwa ni salama kwa mlaji or vinaingia tu moja kwa moja pasipo kuguswa, je usalama upo wapi
Watu wameibuka now wanauza mtandaoni, madawa ya kuongeza shepu,makalio,uume , nguvu za kiume, kuna manuteients wanatumia mabaunsa yanakaa kwenye ndoo zinauzwa hivyo hovyo na sijui kama hzi mamlaka zinafuatilia hivi vitu na kuvitokomeza maana ndio kazi zao ila wapo ofisini wanakula mishahara
Ni muda muafaka hizi taasisi zifuatiliwe utendaji wake wa kazi kama utendaji wao wa kazi sio mzuri ni heri wafanyakazi wapunguzwe or kupunguziwa mishahara maana wanatumia kodi zetu kwa ajili ya kutulinda ila bado bidhaa feki zimezagaa mitaani