TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Joyce Masunga Katibu mkuu wa CCM Mwanza ni kichekesho analazimisha u-MC wakati sauti hana anakoroma kama kitimoto. Uso umebabuka kama walivyo wanawake wengi wa CCM wachumia tumbo

Weka picha basi …
 
mbona inawauma saaaaana,kwa habari zenu tuu,CDM +UKAWA kwisha habari yao na katiba mpya itapatikana ,hakuna haja ya matusi baada ya 2015 hakuna teeena cdm ile ya mwaka 2010 hakika.
 
Tbccm inashindwa kutuonyesha mafisadi na wezi wa pesa zetu,wamekazana na bango miziki na wezi wenzao maccm,hapo ndo utaona faida ya Tido.
 
ndani ya ccm cheo hutolewa sio kwa uwezo bali kwa kujuana!

kwi kwi kwi! bado wanafikiri neno juice ni msamiati kwa watanzania kuwa wapinzani wanataka kwenda kunywa juice ikulu kumbe hata kule kwetu mwitikira kwa kina le mutuz tunakunywa juice ya matikiti toka nkhambaku
 
unashangaa watu kujazana wewe sio mtanzania nini? watanzania wengi hawana cha kufanya kwaio hapo wanapoteza muda tu

Kumbe hata kwenye mikutano ya CHADEMA & UKAWA huwa wanakuja kupoteza muda tu?
 
Watu wengi waliokuwepo kwenye mkutano huo wamebebwa kwa mabasi na wengi wamevalishwa matisheti, makanga, vikofia na nembo za CCM. Wengi ni wasiojitambua, lakini wapo wengi pia ambao wameenda kuwashangaa akina MWIGULU wakitoa mapofu yao ya kinafiki.
 
hakuna ukweli wowote kuwa wamebebwa na malori,nipo hapa n uzushi mtuuuupu,CDM +UKAWA kwisha habari yao
 
Nape alisema katiba itapatikana bila UKAWA sasa shida iko wapi si waende wakapitishe hiyo katiba mbona wanatoka sana mapovu kwa vitu vyepesi hivi?

Mpuuzi eti rais alisaini tangazo la serikali sio rasimu ya katiba hiyo ndiyo ccm tutaona na kusikia mengi mwaka huu waendelee na laana zao ila UKAWA inakubalika kwa watanzania na wataaibika siku ya kura ya maoni ya wananchi hamna rangi wataacha ona
 
Ameen! Ramadhan Kareem

Kweli ukiwa msukule unaweza sema mavi ni chakula kitamu sana. Yani alivyokuwa anatiririka kumtusi dr slaa aliyetoa watz matongotongo kuhusu kuanza machaakato wa katiba mpya na nyie ndo masema kaongea kwa hwkima. Kwenu matusi ni hekima. Henyi ccm ni nani aliye waloga
 
Back
Top Bottom