TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Nasikia kuna kibabu kinapenda maandamano kiasi kwamba kikikasirika chumbani kwake na mkewe kinaandamana kuzunguka kitanda!!!!!!
 
Huyu mwigulu ni ngifi kweli eti anataka kuanzisha serekali ya viburudisho
Huu uwaziri alipewa zawadi huyu dogo sio mzima huyu!
 
Mwigulu hana mvuto. Yaani hakuna hata anayecheka kujitutumua kote huko. Hata haaleweki
 
Nazidi kuwapa hongera Mwanza jamaa anatokwa na povu mko kimya wala hamshangilii napenda sana piga T-shirt, kofia, pilau usafiri wa bure ila akili mukichwa big up sana mnanifurahisha kwa vile naendelea kuangalia LIVEEEEEEEEEEEEEEE
Mkutano mgumu sana kwa mwigulu, hakuna kitu kigumu kwa mwanasiasa kama kuhutubia watu wanaokutazma tu kama wapo msibani
 
Huyu jamaa anapozungumza hadi kero. eti kile kizee yaan Dr slaa kikiwa na hasira huwa kinazunguzunguka kitanda. SHAME YOU MWIGULU
 
Mwigulu amemaliza hotuba yake bado wananchi wamesimama kama miti hawamshangilii jamani CCM someni alama za nyakati
najua lumumba mtakuja na kashfa kibao ila clip ya hotuba hii ni ushahidi tosha kuwa mvuto wenu umepungua sana mbele ya jamii
 
mambo aliyoongea mwigulu yanatafakarisha ndo maana kila mtu yuko kimya na makini.

Pole mkuu hiyo ndo mene mene tekeli na peresi CCM kwishney ha ha ha naona mnaweka mziki wa komba aliyefilisiwa juzi na CRDB poleni
 
Back
Top Bottom