TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Ndugu yangu Mwigulu, laana ya mauaji ya kikatili ya namna hii itaendelea kukutafuna tu.... Hutaweza kujinasua...

photo3.jpg
 
Hii TBC washenzi sana

-Ukiwaona hewani ujuwe

1. Nape na Kinana

2. Kikwete na UCCM wake

3. Makada wa ccm

4. Shughuli za kiccm nk

Tulikuwa na Mpira-Football baina yetu na Msubiji TBC haikufanya lolote lamaana zaidi ya kupiga ngoma za asili

leo mwigulu yupo mwanza eti wanarusha matangazo huu ni U.pumbav.u wa aina yake.

-CCM wamegeuza kodi zetu zinazogharamia TBC kuwa zakiccm, nadhani kunakilasababu siku ccm watatoka madarakani nikuwapeleka viongozi wake wote ndani sio mahakamani ila moja kwa moja vifungoni-wanatapanya na kuchezea mali za umma kwa faida ya wachache.
 
Ajabu watu wamevalishwa sare lakini kila wakiambiwa CCM hoye hata wenye sare hawajibu hiyo slogan
 
Hivi hawa tbc wanalipwa kweli?tbccm full vituko'
 
CCM ni Ma Dr na Prof tu hakuna waliododge shule
 
Angalau Steven Kebwe anaongelea mambo ya maana kuliko wengine wote waliotangulia
 
wananchi wa Mwanza wamenifurahisha sana,hakuna anaejibu hoyee viongozi wanaposema ccm hoyee watu wote wamekula jiwe
 
Pamoja na mkutano kurushwa live mbona umedoda sana?
 
Mkuu, angekuwa kichaa chama na Rais wangemuamini? Na je watu wangejazana uwanjani kumuangalia na kumsikiliza?


-Kama kikwete asema,Wezi wa EPA amewasamehe warudishe fedha atashindwa kumwamini huyu muuwaji mwigulu?

-Kama kikwete anasema anawafaham wezi wa maliasili zetu huko mistuni kisha hakuna hatua yoyote atashindwa kufuga jambazi mwigulu

-Kama kikwete amethubutu kumpandisha cheyo Muuwaji wa Daudi mwangosi yaani kamuhanda atashindwa kumwamini mpishi wa video feki huyu mwigulu?

-Kama kikwete amethubutu kumpandisha cheo aliyewapiga sana watu wa Arusha na kuwa uwa kamanda Adengenye atashindwa kumwamini aliyeamuru Arusha siku moja kabla watakufa kama wataendelea kuichgua cdm yaan mwiguru

Kama ccm chini ya kikwete, Pinda na Nchimbi waliweza kupiga Dr Ulimboka ilikufunga mdomo asidai haki za madakitari je watashindwa kuulinda mfumo wao wa mauwaji na utesaji chini ya mwigulu?

Mwigulu ni moja watu hatari kabisa kutokea katika siasa za tanzania kwa kuuwa, kupanda chuki, kupika majungu nk.
 
Mbona uwanja mzima wamevaa njano tupu
 
Joyce Masunga Katibu mkuu wa CCM Mwanza ni kichekesho analazimisha u-MC wakati sauti hana anakoroma kama kitimoto. Uso umebabuka kama walivyo wanawake wengi wa CCM wachumia tumbo
 
Iliyojazana huko ni misukule iliyozolewa huku wakiwa hawajitambui na kumwagwa uwanjani na malori kama matope mana na akili zao ni matope

Hujakosea mkuu,wadharau hao misukule wanaotimizaga haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kuliko wale wajanja na wanywa viroba ambao hata kura hawapigi.
 
Dr. Tizeba anamwaga yake.
Meli kubwa ya kusafirisha abiria ziwa Victoria, abiria zaidi ya 1000.
 
Pamoja na mkutano kurushwa live mbona umedoda sana?
 
wanaanchi ka wamelazimishwa wamepoaaa
 
Back
Top Bottom