TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Ufahamu wako unakutuma BAVICHA tu, basi umeishia hapo. Na ndiyo maana miaka yote mitano ya uongozi mnaimaliza kwa kutumia raslimali, muda na nguvu zenu zote kupigana na CHADEMA utadhani mlijipachika madarakani kwa lengo hilo. CHADEMA kinawafanya mkose usingizi hadi kupoteza mwelekeo. Mnapambana na CHADEMA badala ya kupambana na matatizo ya Watanzania. Shame on you!

Kwa kuwa uelewa wako mdogo, sina sababu ya kukueleza kwa nini ninazidi kuchangia hapa. ccm mlichobakiza ni uchawi, ugaidi na uchakachuaji tu. hata waliosoma elimu yote walishasahau. poleni lakini ni aibu na mwisho wenu umewadia.

Vijana wa BAVICHA mna matatizo sana.

Kila siku tunasema kazi ya kisiasa mliyotumwa kuifanya iko juu ya uwezo wenu.

Wewe unadai ulizima TV na kuanza kuangalia vipindi vingine halafu cha kushangaza unaanza kuielezea hotuba huku ukikosoa. Sasa hiki unachokikosoa ambacho kilikuwa ni sehemu ya hotuba umekipata wapi wakati hukuangalia hiyo hotuba kwenye TV.

Ndiyo yale yale ya Dr. Slaa ya kuwaambia watu mbali mbali warudishe kazi za CCM wakati ya kwake imeiweka kwenye special document frame.

Kama hukutaka hata kusikia kilichokuwa kinasemwa kwenye mkutano, nini kimekufanya ukaanza kusoma michango mbali mbali kwa jambo ambalo huhitaji hata kulisikia.

Yaleyale ya sizitaki mbichi hizi
 
UPAWA huujui! muulize Mbowe, au subiri kdg atapoanza kuukinga na nyie kuujaza mahela kwenye oparesheni zake, utaujua vizuri.

Unazungumziaje aibu leo Mwigulu alioipata Mwanza...

Nasikia wala ITV hawajaonesha mipasho ya Mwigulu..
 
chadema hawalazimishi mtu kufunga duka lake anafunga mwenyewe kuja kwenye mkutano.
chadema hawambebi mtu Kwa roli au hata kumpa nauli ila kila mtu anakuja kwa nauli yake
chadema hawagawi hata maji ya kunywa pale hoja tu kula kwenu

Halafu??? Jichagadema na akili ya zidumu fikra za Mbowe...na mmebakiwa na jino moja tu na limeshalegea bado kungooka tu
 
Leo ndiyo nimethibitisha kwamba CCM haina watu.hii ni kwa sababu zaidi ya 90% ya waliokuwepo mawazo yao hayakuwa pale.Kila kiongozi akisema 'kidumu Chama cha mapinduzi!' walikuwa wanaitikia wachache sana.
Hali ile ni hatari.Ni Sawa na watu walioko kwenye harusi lakini badala ya kusherehekea wanaomboleza.
Nimeshuhudia uwepo wa pengo kubwa sana kati ya viongozi wa CCM na wanachama wa kawaida.
Wanachama wa kawaida kama vile jukumu lao lilikuwa tofauti na la viongozi.Inawezekana wanachama waliambiwa kazi yao ni kusimama tu mithili ya wanasesere kwa ajili ya kupamba mkutano na zile sare za chama.
 
Mi nashauri wale watu tuliowaleta na malori tusiwalipe, haiwezekani naibu katibu mkuu mh mwigulu nchemba anaongea wao wanajifanya kama hawaoni pwenti ya maana, ina maana hawajui tuliwaleta kufanya nini?
Lakini pia nashauri tuwe tunawakodia mabasi bdala ya wa malori hakuna mjanja atakubali kupandishwa lori kuja kushabikia chama kilichochoka labda wawe kama hawa wa leo wanaotaka kufahamu mjini kukoje
 
Mwigulu hana mvuto. Yaani hakuna hata anayecheka kujitutumua kote huko. Hata haaleweki

We jidanganye kama hana mvuto watu wote wale walifata nini! Mwigulu alone anakimbiza vile! Wananchi tunamfuatilia kwa makini, nilikuwa sijui kwa nini huyu jamaa kwanini chadema hawampendi jana ndio nimepata jibu.
 
Mi nashauri wale watu tuliowaleta na malori tusiwalipe, haiwezekani naibu katibu mkuu mh mwigulu nchemba anaongea wao wanajifanya kama hawaoni pwenti ya maana, ina maana hawajui tuliwaleta kufanya nini?
Lakini pia nashauri tuwe tunawakodia mabasi bdala ya wa malori hakuna mjanja atakubali kupandishwa lori kuja kushabikia chama kilichochoka labda wawe kama hawa wa leo wanaotaka kufahamu mjini kukoje

Ukishangiliwa nDonini
 
Duh hao jamaa ni noma kumbe tbc one n'a taifa zote zinarusha.
 
Katika mijitu miongo bavichwa mnaongoza! watu kibao wamevaa kijani na mi mwenyewe nimeona kuanzia Igogo, Bugarika, Mabatini, mitaa ya Rufiji,Kirumba, Nyamanoro hali ilikuwa bam bam vipi unaleta ushuzi humu jf! muongo mkubwa.
we ni mwongo inamaana mitaa yote hiyo uliizungukia jana nakuona shamrashamra hizo? Mimi niko igogo kwa maburuki, sijaona hizo unazo ziita shamrashamra.
 
Asalaam aleykum ndugu yangu punguza ukali wa maneno yako kumbuka kila ulifanyalo siku ya mwisho utaulizwa!

Siyo vizuri kutoa lugha ya matusi kwani mwenye kutukana hujidhalilisha yeye mwenyewe pamoja na wazazi wake!

Ramadhan Kareem

Kwa bahati mbaya akaunti yangu ilifungiwa kwa jana,sasa nimerudi. Wanaojidharirisha ni wale wanaokula pesa za umma na kuwatelekeza wananchi bila kuwapa huduma bora kama maji,hospitali,shule n.k na wao ndo watakuwa wa kwanza kuulizwa siku ya mwisho
 
Akikuwa analihutubia taifa akitokea mwanza

Taifa lipi? Labda kama lumumba nalo taifa.hakuna mwenye akili awezaye kuacha shughuli zake kumsikiliza huyo gaidi anayenuka damu za watz wasio na hatia.Jana nilikuwepo maeneo ya Kirumba Mwaloni na watu walikuwa bussy na shughuri zao kama kawaida.Sana sana tumeshuhudia malori yakiwa na watu kutoka Magu,Bunda,Misungwi,Sengerema na Geita.CCM ilishakufa Mwanza mjini imebaki huko vijijini kwa hao wenye hamu ya kufika mjini!
 
Back
Top Bottom