TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Kweli mwigulu nchemba anawaza kwa kutumia m.a.t.a.k.o huyu jamaa ni f.a.l.a sana sijaona cha maana alichoongea zaidi ya hadithi za abunuasi

ha ha ha! msomi wa CCM anafanya kazi ya upinzani eti hospital hazina madawa mara utendaji wa watumishi wa umma ni mbovu so wananchi wa mwanza ndo wawajibishe? mara fedha za umma haziendi panapostahili so walokuwa wanamsikilza wafanyaje? poor ccm mmechuja sana
 
Kama kiongozi wa chama ana akili ya namna hii sasa wanachama watakuwa na akili gani?
 
Nimeshudia kwa macho yangu ya nyama malori 2 ya coke semi yakishusha watu
 
Huwezi kuamini naona Ccm mwanza imefinyangwa kabisa mwigulu amezoea iramba wanamshngili na kumbemba wakati huku ni kama wanamuuliza unamaliza saa ngapi, unatukera!
 
kaka wananchi wamelazimishwa kufunga biashara zao kuja kumsikiliza gamba hapo walikuwepo tu ili kulinda leseni zao ila nawapa big up sana kwa kuwa kimya muda wote message delivered
 
Kweli mwigulu nchemba anawaza kwa kutumia m.a.t.a.k.o huyu jamaa ni f.a.l.a sana sijaona cha maana alichoongea zaidi ya hadithi za abunuasi

Asalaam aleykum ndugu yangu punguza ukali wa maneno yako kumbuka kila ulifanyalo siku ya mwisho utaulizwa!

Siyo vizuri kutoa lugha ya matusi kwani mwenye kutukana hujidhalilisha yeye mwenyewe pamoja na wazazi wake!

Ramadhan Kareem
 
Back
Top Bottom