TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Kweli baba yetu wa taifa katuachia vituko serekalini
Hivi akiwa hai huyu mwigulu alikuwa wapi mbona mwepesi sana.
 
Sasa mbona huyu jamaa anaongea matusi matupu?hivi viongozi wote wa ccm wanafuatilia matusi haya na wanaona ni sawa?hivi huyu mwigulu anadhani wote anaowahutubia hawana akili? Shame on you mwigulu and ccm!
 
Kama ccm ndio wanatumia kodi za watanzania kumrusha huyu mwigulu asiye na hoja kweli chama hicho kinapita wakati mgumu sana.

Hana hoja ana mbwela mbwela tu
Mkuu Mungu akishapanga yake Binadamu hana Uwezo wa kubadilisha sasa huyu jamaa ndo anaandaliwa kuwa raisi Eti
 
Mwigulu anajiaibisha anasema Singida yote angekua rais maana anapendwa maajabu amempiku Lissu na Nyalandu
 
Mwigulu you are smart,umezungumza mambo yanayogusa maisha ya mtanzania halisi, Mungu akujaalie afya njema ili uweze kutimiza malengo uloyaweka kwa watanzania wenzako!
 
mwigulu na TBC ni wahuni wakutupwa mbona hawajapeleka matangazo live jimboni kwake iramba magharibi ili tuone vituko na umasikini wakutupwa jimboni kwake yeye anauzia sura kwenye majimbo ya wenzake tunataka kuziona hizo barabara zilizotengenezwa na ng'ombe.

Rudi kwenye mada. Kuna mengine naona anaongea yanaleta maana...
 
Hizi tshirt wamenunua au..? halafu mbona hawashangilii? TBC mna swali la kujibu!!
 
Back
Top Bottom