TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

TBC LIVE: Matangazo ya moja kwa moja ya CCM Mwanza

Mwigulu! Nchemba! eti unawaandaa watanzania kisaikolojia ipi? hii tunayoijua wanazuoni au ya CCM eti gari za kifahari ziachwe hivi hapo Mwanza uko na baiskeli? acha kutumika jitambue usiisigine taaluma ya chuo kikuu hizo ahadi zote unazotoa hapo Mwanza ni usanii mtupu
 
Kikwete analalamika,mwigulu analalamika,wananchi wanalalamika,sasa nani wakututatulia matatizo?
 
Yani mwigulu amewageuza wataz ni mazuzu maana naona anawahubiria uongo tu
Hata hivyo kinachotia moyo ni kwamba ukiaangalia watu waliopo hapo uwanjani wanaonekana wamelazimishwa kuwepo hapo hawana raha wala matumaini kabisa
 
Hivi anaongeleaaaaa Kuhusu nn
 
Mkuu, angekuwa kichaa chama na Rais wangemuamini? Na je watu wangejazana uwanjani kumuangalia na kumsikiliza?

unashangaa watu kujazana wewe sio mtanzania nini? watanzania wengi hawana cha kufanya kwaio hapo wanapoteza muda tu
 
WIKI YA KICHAA CHA MBWA ha ha ha ha hii nchi ina sherehe balaa.
 
mwigulu na TBC ni wahuni wakutupwa mbona hawajapeleka matangazo live jimboni kwake iramba magharibi ili tuone vituko na umasikini wakutupwa jimboni kwake yeye anauzia sura kwenye majimbo ya wenzake tunataka kuziona hizo barabara zilizotengenezwa na ng'ombe.
 
Hutu anaumwa anaacha kuongelea wezi wao escrow anasemea viela vya Maji ya kwa watanzania maofisini.
 
Jamani haya yote walikuwa wapi yuko sawa lakini alikuwa wapi huyu naibu katibu wa chama. Anasema risit sasa zitumike za machine kila halmashaur ... magari ya bei mbaya hapana.....matajiri watozwe ushuru. Naona kama wapinzani wanapata pointi je miaka mitano yote hawakuona. Au kwa kuwa uchaguz umekaribia. Kila la heri mwigulu pinda alishindwa...utaweza kama rais atakusupport au mawazo yako yatafanikiwa kama viongozi wote watakussuport huko mawizarani ambao wamekomaa kujilimbikizia mali. Bado safari ni ndefu
 
Mwigulu anamwaga sera zinazogusa maisha ya kawaida ya Watanzania maskini.
Mwigulu Mungu akubariki kwa moyo wa uzalendo.
Nasikia ndo mnamuandaa kugombea uraisi nchii hii bwana.sasa anayoongea kwani ni mapya? Yaan hicho ndo kimemtoa Dar kuja kuongea huo ugoro ?
 
Hakuna hata anayepiga makofi wala kushangilia kwa yale yanayoongelewa na MN.!!
 
mwigulu na TBC ni wahuni wakutupwa mbona hawajapeleka matangazo live jimboni kwake iramba magharibi ili tuone vituko na umasikini wakutupwa jimboni kwake yeye anauzia sura kwenye majimbo ya wenzake tunataka kuziona hizo barabara zilizotengenezwa na ng'ombe.

hahahaha
 
Yani mwigulu amewageuza wataz ni mazuzu maana naona anawahubiria uongo tu
Hata hivyo kinachotia moyo ni kwamba ukiaangalia watu waliopo hapo uwanjani wanaonekana wamelazimishwa kuwepo hapo hawana raha wala matumaini kabisa

haha mkuu nichk plz
 
Jaman mim sioni mantiki ya mkutano huu naona anapiga tu soga za mtaani.
 
Back
Top Bottom