TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Ametoa dhamana ya sh Milioni 5 na Wadhamini wawili.Kesi yake itatajwa tena tarehe 12 Mwezi huu.Cha kushangaza Amefunguliwa mashtaka mawili tu kwa sasa la rushwa lakini la pingu halijatajwa wanadai wanafanya uchunguzi kwa kuwa ameshakabidhi risiti.

Kukutwa na pingu si kosa, pingu ni kielelezo cha kesi toka kwa mlalamikaji kwamba alipokuwa ndani ya gari ya Muro kulikuwa na bastola, pingu, na pia mlalamikaji aliacha miwani na tissue zake ndani ya gari
 
Ametoa dhamana ya sh Milioni 5 na Wadhamini wawili.Kesi yake itatajwa tena tarehe 12 Mwezi huu.Cha kushangaza Amefunguliwa mashtaka mawili tu kwa sasa la rushwa lakini la pingu halijatajwa wanadai wanafanya uchunguzi kwa kuwa ameshakabidhi risiti.

........Hivi wale polisi walioonyeshwa na Jerry Muro wanapokea rushwa nao walifikishwa mahakamani au vp?
Maana sijasikia chochote kuhusu wale polisi zaidi ya kuachishwa kazi.........nao ilibidi wafikishwe mahakamani,iweje JM waharakishe kiasi hiki kumfikisha mbele ya sheria na wakati wale polisi wala rushwa hawajapelekwa mbele ya sheria?
 
Nimeona press release ya TBC, nilidhani wangesema kuwa kwa vile kashtakiwa Mahakamani kwa kosa la jinai basi anatakiwa kusimamishwa kazi kwa vile ni mtumishi wa serikali hadi hapo haki itakapotikana na si vinginevyo!
 
Ushaidi wa kimazingira ni kama ifuatavyo:

1. Kamera yake ilikuwa na nyumba za jamaa mhasibu anazojenga Morogoro so Jerry alikuwa anamchunguza

siyo kosa; tumepiga picha nyumba ya Gavana, Ikulu, n.k!

2. Walionekana wote na CCTV hotelini ambako Jerry alikana kwenye maelezo yake kuwa hamjui jamaa

maelezo ya wapi? Maelezo yote ambayo Jerry na Polisi wameyatoa nje ya kiapo cha mahakama hayana nafasi katika ushahidi. Polisi hawawezi kusema mahakamani ati "jerry alipozungumza global publishers alisema x,y"; mahakama itawapiga stop.. inadmissible!

3. Mhasibu alisema wazi kuwa ndani ya gari la Jerry kuna nini (pingu, bastola)

Itakuwaje mtu mwingine alimpa hizo information? Polisi ni lazima watatakiwa waoneshe the chain of possession kuthibitisha hilo.

4. Miwani ya mhasibu ilikutwa ndani ya gari la Jerry inaonyesha kimazingira walishakutana jambo ambalo jerry alikana.

Polisi watatakiwa kuthibitisha walikuta miwani ndani ya gari la Muro; Ni jukumu la Polisi kuthibitisha kuwa walikuta miwani humo. Je, kabla ya kulipekua hilo gari walimuonesha Muro kuwa wao hawakuwa na kitu mikononi mwao? Je walikuwa na waranti ya kulipekua hilo gari?

Jerry alikurupuka, laiti angesema alishamuona mahali au jana yake huyu mhasibu na wakakaa meza mmoja, maana unaweza hotelini kukaa meza moja na mtu usiemjua hasa kama CCTV kamera ikionyesha kulikuwa kumejaa..ANGEKUWA HANA KESI YA KUJIBU KABISA.

NI jukumu la Polisi kuthibitisha hilo.

Yeye Jerry ndo amekaribisha ushahidi wa kimazingira.

Tatizo alishavimba sana bichwa....linaelekea kupasuka sasa.

Ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa polisi walijaribu kumtegea mtego Muro ili akamatwe na rushwa lakini walishindwa.

a. Hakuna CCTV inayoonesha Muro akipokea fedha yoyote
b. Hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kudai kuwa amempa fedha za rushwa Muro
c. Hakuna mahali popote ambapo panaonesha kuwa Muro alimtishia mtu yeyote. Alikuwa kwenye gari peke yake, unless alikuwa anamtishia mlalamikaji kwa kutumia njia za osmosis!
d. Hakuna mahali popote ambapo Muro amekataa kumiliki Pingu au Bunduki; vitu ambavyo vyote ameonesha kuwa anavimiliki kihalali.
e. Humo hotelini kulikuwa na watu wengine wengi; kwanini na hao watu wasiitwe (wanaonekana kwenye CCTV siyo) kuja kutoa ushahidi kama walimuona Muro humo ndani na kama kulikuwa na jaribio lolote la kutoa rushwa.
f. Muro (kama alikuwa hotelini) inaonekana aliamua kutoka na kwenda kwenye gari yake. Hii ni dalili kuwa hakutaka kuwa sehemu ya jaribio la kutoa rushwa.
 
Mimi nadhani wanachokifanya hapa ni distraction! Maana moto aliokuwa ameanza nao wali- feel thretened, wanavuruga na kutishia maisha ni uozo ulioota mizizi ndani ya jeshi la polisi na Im telling you they wont let it go so simply, kuna watu watamefungwa na watafungwa jela in any attempt to expose them. Je haya yote yakitokea waandishi wa habari mtaendeleza mapambano?
 
Pale polisi waposema kuwa wanakaa vikao kudiscuss kama ni kosa kisheria kwa raia kumiliki pingu.

Je:
Vikao wanavyokaa vikiamua kuwa ni kosa kumiliki pingu basi Jerry atashitakiwa kwa kosa hilo? Vinginevyo, hii ndio itapelekea kutungwa sheria ya kutohalalisha au kuhalalisha raia kumiliki pingu?
 
........Hivi wale polisi walioonyeshwa na Jerry Muro wanapokea rushwa nao walifikishwa mahakamani au vp?
Maana sijasikia chochote kuhusu wale polisi zaidi ya kuachishwa kazi.........nao ilibidi wafikishwe mahakamani,iweje JM waharakishe kiasi hiki kumfikisha mbele ya sheria na wakati wale polisi wala rushwa hawajapelekwa mbele ya sheria?

Ameshtakiwa na wenzake wawili lakini wenzake wameshtakiwa kwa makosa matatu yeye mawili.
 
Kama usemayo ni kweli basi tupo ukurasa mmoja kuwa jamaa huenda alitumwa na polisi amfuate Jerry ampatie issue kuwa kuna kazi yaani jamaa ana miliki mali kifisadi na kumvuta Jerry kuwapeleka akishirikiana na Wage sehemu walizo kuwa wametega CCTV zao ili wapate picha za kumyamazisha. This case is VOID AB INITIO

Kwani hizo video zina sauti ndugu yangu yaani hapo wan picha tu, na ndicho walichokuwa wankitaka lakini wakisahau kuonekana katika video haitoshi peke yake labda kama wangeoneka anapewa hela. Lakini kama wanazungumza tu utajua walikuwa wanazungumza nini? Yaani hata wanasheria wa serikali nao sijui vipi na ndo maana walishindwa kesi ya zombe kwa kukosa kuwa na uelewa wa ushahidi yakinifu wa kumshitaki mtu.

Halafu wanadai uchunguzi unafanyika sasa huko mahakamani walienda kupoteza muda wa hakimu na mshtakiwa kama uchunguzi walioufanya haujakamilika?
 
Pale polisi waposema kuwa wanakaa vikao kudiscuss kama ni kosa kisheria kwa raia kumiliki pingu.

Je:
Vikao wanavyokaa vikiamua kuwa ni kosa kumiliki pingu basi Jerry atashitakiwa kwa kosa hilo? Vinginevyo, hii ndio itapelekea kutungwa sheria ya kutohalalisha au kuhalalisha raia kumiliki pingu?

Hakuna kikao kitakachomua kuwa hilo ni kosa au la wakubali to hapa elimu imewaponyoka mno yaani ni udhaifu mkubwa. Ukiacha kesi hizi za kubambikia-polisi hawajui sheria na ndo maana kila siku mahakamani kesi za maana watu wanaponyoka kwa kukosa ushahidi wa kutosha
 
Nimeona press release ya TBC, nilidhani wangesema kuwa kwa vile kashtakiwa Mahakamani kwa kosa la jinai basi anatakiwa kusimamishwa kazi kwa vile ni mtumishi wa serikali hadi hapo haki itakapotikana na si vinginevyo!

Instad imesemaje hebu tujulishe
 
Kesi hii si ndogo kwa JM! Nimesoma mahali dogo naye si msafi kiasi hiki.......huenda pingu na bastola alikuwa anatishia wadau wamkatie kidogo dogo. Ngoja tusubiri mwendelezo wa kesi mashtaka na upande wa utetezi.

Bht mimi mnunuzi......nifike bei? ila bidhaa used hapana
.
Kwa jinsi JM anavyofahamika Bongo sio rahisi kwamba alifanya mambo yao.Ni mtandao umechongwa deal la muda mrefu na haya ndiyo matokeo yake.
 
siyo kosa; tumepiga picha nyumba ya Gavana, Ikulu, n.k!

maelezo ya wapi? Maelezo yote ambayo Jerry na Polisi wameyatoa nje ya kiapo cha mahakama hayana nafasi katika ushahidi. Polisi hawawezi kusema mahakamani ati "jerry alipozungumza global publishers alisema x,y"; mahakama itawapiga stop.. inadmissible!

Itakuwaje mtu mwingine alimpa hizo information? Polisi ni lazima watatakiwa waoneshe the chain of possession kuthibitisha hilo.

Polisi watatakiwa kuthibitisha walikuta miwani ndani ya gari la Muro; Ni jukumu la Polisi kuthibitisha kuwa walikuta miwani humo. Je, kabla ya kulipekua hilo gari walimuonesha Muro kuwa wao hawakuwa na kitu mikononi mwao? Je walikuwa na waranti ya kulipekua hilo gari?

NI jukumu la Polisi kuthibitisha hilo.

Ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa polisi walijaribu kumtegea mtego Muro ili akamatwe na rushwa lakini walishindwa.

a. Hakuna CCTV inayoonesha Muro akipokea fedha yoyote
b. Hakuna mtu yeyote aliyejitokeza kudai kuwa amempa fedha za rushwa Muro
c. Hakuna mahali popote ambapo panaonesha kuwa Muro alimtishia mtu yeyote. Alikuwa kwenye gari peke yake, unless alikuwa anamtishia mlalamikaji kwa kutumia njia za osmosis!
d. Hakuna mahali popote ambapo Muro amekataa kumiliki Pingu au Bunduki; vitu ambavyo vyote ameonesha kuwa anavimiliki kihalali.
e. Humo hotelini kulikuwa na watu wengine wengi; kwanini na hao watu wasiitwe (wanaonekana kwenye CCTV siyo) kuja kutoa ushahidi kama walimuona Muro humo ndani na kama kulikuwa na jaribio lolote la kutoa rushwa.
f. Muro (kama alikuwa hotelini) inaonekana aliamua kutoka na kwenda kwenye gari yake. Hii ni dalili kuwa hakutaka kuwa sehemu ya jaribio la kutoa rushwa.

Mambo sio rahisi kama unavyodhani...
 
.
Kwa jinsi JM anavyofahamika Bongo sio rahisi kwamba alifanya mambo yao.Ni mtandao umechongwa deal la muda mrefu na haya ndiyo matokeo yake.

"Great thinker"! ...Madili wamefanya ma-super stars kama kina Lowasa, Rostam, Tido Mhando, Salva Rweyemamu ... nini huyu mtu mdogo...
 
haya mambo mengine yananikumbusha ishu za mazingaombwe....
 
Watanzania mnapenda sana process (mchakato)

serikali imeanzisha "mchakato"; tuko mbioni kuanzisha mchakato; mara mchakato utakapokamilika.. we do not mind sana the results!

Mkiona mtu kaingizwa kwenye karandinga na kusimamishwa kizimbani na kupewa dhamana tunafurahi sana bila kuuliza anashtakiwa nini? Ndivyo walivyochezea sakata la Zombe hivi hivi miaka nenda hadi mwisho.. tunabakia kushangaa.. mchakato umekamilika.

Kwenye hili mchakato nao utakuwa hivi hivi.. itapigwa kalenda kalenda halafu walivyo na akili timamu.. timing yao is always perfect.. rudi nyuma muangalie jinsi gani mijadala mikubwa ya taifa inavyovurugwa na mambo ya kijinga!

a. Watu wanazungumza mambo ya bunge wakati ule .. mara vyumba vya kina slaa vimekutwa na wadudu
b. Mara unga umekutwa Bungeni
c. Mara ..

na sasa tunaelekea tena richmond na ripoti ya Mwinyi.. guess what.. tunazungumzia pingu!!
 
Duh! jamaa wafufunguliwa mashtaka matatu 1 kuomba rushwa 2 kula njama 3 kudanganya wao ni maafisa wa takukuru, kila mmoja ametakiwa kutoa zamana ya Tsh milion tano.

Mkuu naamini bado una muda wa ku-edit hapo. Ni sahihisho to mkuu, nothing else.
 
On the other side hivi pingu huyu jamaa alikuwa akiitumia vipi?Maana kama ni kwa mambo ya mapenzi kwenye gari ilikuwa for what reasons?Si ilitakiwa iwe humo chumbani kwake?
Mwanzoni alidai kuwa polisi wanafahamu kuwa anaimiliki pingu hiyo,sasa kuna mambo yanafichwa na watu kugeukana ama ni kitu gani?
Najiuliza sana kuhusu matumizi ya pingu kwa ndg Muro,was he a bounty hunter?
 
Watanzania mnapenda sana process (mchakato)

serikali imeanzisha "mchakato"; tuko mbioni kuanzisha mchakato; mara mchakato utakapokamilika.. we do not mind sana the results!

Mkiona mtu kaingizwa kwenye karandinga na kusimamishwa kizimbani na kupewa dhamana tunafurahi sana bila kuuliza anashtakiwa nini? Ndivyo walivyochezea sakata la Zombe hivi hivi miaka nenda hadi mwisho.. tunabakia kushangaa.. mchakato umekamilika.

Kwenye hili mchakato nao utakuwa hivi hivi.. itapigwa kalenda kalenda halafu walivyo na akili timamu.. timing yao is always perfect.. rudi nyuma muangalie jinsi gani mijadala mikubwa ya taifa inavyovurugwa na mambo ya kijinga!

a. Watu wanazungumza mambo ya bunge wakati ule .. mara vyumba vya kina slaa vimekutwa na wadudu
b. Mara unga umekutwa Bungeni
c. Mara ..

na sasa tunaelekea tena richmond na ripoti ya Mwinyi.. guess what.. tunazungumzia pingu!!

Ndugu yangu wee... hizi techninics za ku-diverge issues ni kwa nchi zilizoendelea na sio hapa Tz ambako watu wamejikalia tuu wakisubiri pilau ya bure. Richmond, Ripoti ya Mwinyi etc haiwanyimi watawala usingizi kama unavyotaka kutusadikisha.
 
Mie nafikiri issue yote ya Bw. Muro ni Total Distraction tu. Hawa watu are very smart. Wananchi sasa tumejiondoa kwenye issues za muhimu zanazotikisa taifa letu tunakalia Muro, sijui Kapama ooh sijui Kova. Jamii ilishachanganywa tayari, mara haya yametokea kwenye Hospitali ya Sea Cliff mara City Garden. Sasa sijui lipi la kweli.
Kova alikuwa anachemka tu. Alisema kuwa wale matapeli hawawezi kupewa dhamana kuwa wataitapeli. Lakini dhamana yenyewe imeachwa wazi for everyone of them. Sijui akirudi kusikiliza ile tape atakuwa na maoni gani.
Turudi kwenye important issues.
NO DISTRACTION IS ALLOWED ESPECIALLY AT THIS TIME.
 
Back
Top Bottom