--alikuwa akila 10 perc na mtuhumiwa wa bagamooyo aliefukuzwa
--takukuru waanza kumchunguza
--aliwahi kumnunulia magari mawili yako morogoro kibiashaara
waziri mwandamiizi waserikali ya jk anatuhumiwa kushiriki katika sakata la wizi wa mamillion kwenye halmashauri ya bagamoyo..mh huyu anahusishwa na sakata la mh jerry muro
habari zinasema vyombo vya dolla vimeshtushwa na taarifa za waziri huyu ambae taarifa zake zimekutwa kwa muro na wenzake edmund na deo
baada ya kuwapekua na kuwahoji vilipatikana vielelezzo hallisi vinaovyoonyesha uhusiano wa waziri huyu na watendaji waliotimuliwa na waziri mkuu pinda
akionngea kwa mshangao anasema jerryy muro alikutwa naushahidi unaoonyesha waziri husika anamtaja jina alikuwa akinufaika na fedha za ubadhirifu kutoka halmashauri ya wilaya ya bagamoyo,walikuwa na docs nyingi za ushahidi ikiwemo gari alilonunuliwa waziri huyo ambayyo yako mororgoro kikazi
habari zaidi inasema vyomboa vya dola vimeamua kuanza uchunguzio zaidi kuhusu waziri huyo na mahusiano na hawa matapeli wa baagamoyo...""unajua wanaangalia mahusiano kati ya waziri na watum,ishi waliofukuzwa kazi na apm ,...maana lazima serikali ijiridhishe walitoa fedha kwake kwa maslahi gani?kablaya ya kuchukua maamuzi..na pia kina jerry muro walizipataje hizi taarifa na walikuwa wanazitumia kwa malengo gani???
Kwa habari zaidi nunua raia mwema