TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!

Makosa mengine polisi wanasoma upepo wajue mahali pa kuchomekea ili kumshikisha adabu Muro, sio kwa sababu ana makosa bali wanamchomekea.

Leka
 
mie nilijua. we are really corrupt. wale polisi aliowapiga picha wametumwa na wazee wakawaletee hela. sasa yeye anawaribia wazee deal, lazima watafute namna ya kumuondoa ila yasiibuke makubwa zaidi
 
Kumbe ni Hospital ya Sea Cliff........

Sasa hospitali kuna wahudumu wa vinywaji?, nafikiri Polisi wameona wakitaja Bar itabidi wawalete wahudumu, na kwa kuwa wao wametengeza CCTV zao wanaona itakuwa ngumu sana kupata picha za wahudumu ambao pia watatakiwa kuja kutoa ushahidi. Hili ni anguko la kwanza la Kova kama kanda maalum Dar.
 
Mbona info bado ziko roborobo haya Maxmelo huyo mwakilishi wenu bado hajarudi mtuwekee hii habari inayoumiza vichwa vya watu wengi
 
na kununua pia....wee ni supplier? (afu usinisemeshe tena tutasemewa kwa Max buree)

Kesi hii si ndogo kwa JM! Nimesoma mahali dogo naye si msafi kiasi hiki.......huenda pingu na bastola alikuwa anatishia wadau wamkatie kidogo dogo. Ngoja tusubiri mwendelezo wa kesi mashtaka na upande wa utetezi.

Bht mimi mnunuzi......nifike bei? ila bidhaa used hapana
 
Kama amepelekwa hapo na polisi wakimshtaki kutaka kupokea rushwa, basi mahakama itatupilia mbali shauri hilo, kwa kuwa polisi hawana haki kisheria kumfungulia mtu mashtaka kwa kupokea rushwa. Wataulizwa, kesi ya TAKUKURU kwa nini muishikie nyie kidedea?

Ngoja tusubiri
polisi wana uwezo wa kukamata mtu yeyote anayevunja sheria za nchi hawana mpaka,kinachozingatiwa ni ushahidi wa kutosha.
 
Mimi nimependa kazi mbadala za pingu tu

Namtakia Bwana Muro weekend njema, nahisi weekend hii hatanunua bia kabisa atapata offer kibao!
 
Akipelekwa rumande ya mahakama ya kisutu

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=vGXHtJ-RGp4[/ame]
 
Mimi nimependa kazi mbadala za pingu tu

Namtakia Bwana Muro weekend njema, nahisi weekend hii hatanunua bia kabisa atapata offer kibao!

Usicheze mbali naye ikipigwa round mzee nawe unajumuishwa rafiki wa karibu na Muro LOL!
 
Mimi nimependa kazi mbadala za pingu tu

Namtakia Bwana Muro weekend njema, nahisi weekend hii hatanunua bia kabisa atapata offer kibao!

hata mie nikimuona namnunulia kreti lile la uhuru no matter si muarifu or
mafisadi wametufanyaje mbona hawajapelekwa mahakamani wapo tu wanadunda
 
Mbona info bado ziko roborobo haya Maxmelo huyo mwakilishi wenu bado hajarudi mtuwekee hii habari inayoumiza vichwa vya watu wengi
Huwa naichukulia JF ni yetu wote, so kusema 'huyo mwakilishi wenu' badala ya 'mwakilishi wetu' sidhani kama ni lugha nzuri. Anyway, ngoja niendelee kulitafuta duka la pingu huku, nadhani nimepotea mtaa mmoja.
 
Huyu Muro wamembeba haraka haraka na kumpandisha kizimbani lakini mafisadi kama Mzee wa vijisenti na Iddissa Rashid walionufaika na utapeli wa ununuzi wa rada na akina Jeetu, Manji, Subhash, Rostam walioifisadi nchi yetu kwa namna moja au nyingine bado wanapeta uraiani! Kweli sheria za Tanzania zimeoza kabisa.
 
Back
Top Bottom