Hivi unajua production ya vipindi vya tv inavyofanyika..?! Maana naona umekomalia vipindi vyake dada angu .!! Embu jitathmini na ujiongeze zaidi bwana, sio kubase maisha yako kwenye vipindi vya tv vya hawa watu.Hata mazuri huwa ana tabiri
So km unafuatilia programme yake utaona.
Btw haya mabaya ili tuombe kwa Mungu na Mungu ameepusha mengi tu
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Ni vile hamfuatilii,Ebola na Isil alivitaja mwanzo Wa mwaka huu,hamuezi jua nyinyii
Wakati anatabiri Zambia kuchukua AFCON ulikuwa unanyonya?huyu jamaa sijawahi kusikia katabili mambo mazuri, anatumia woga wa watu kama fulsa
Hana lolote ni tapeli kupitia imani. Ana intelligence yake au kubahatisha. Mara nyingi utabiri wake haitokei.
Wakati anatabiri Zambia kuchukua AFCON ulikuwa unanyonya?
amesema kati ya ukrain na russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na kenya rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni tanzania?
Mungu katika jina la Yesu akusamehe kwa kuamini utapeli... Hata hapa Dar ana ofisi. Kabla hujaenda kumuona unapeleka taarifa zako ukiambatanisha picha. Atakupa appointment baada ya manjagu wake kuelewa fika shida zako. Upo mkuu!... Wake up.MUNGU katika jina la Yesu akusamehe maana hujui ulisemalo. Kama kweli tuambie hiyo intelligence yake ipo wapi Say africa mashariki ??? Majina yao nk. Kama huna basi unyamaze milele
Watajijua
Nabii wa Mungu kashasema
Emmanuel Tv
Changing lifes changing nations and changing the world
Muhammad is 666Unajua maana ya Nabii au unaropoka tuu !??..........!? christine ibrahim
Muhammad is 666
Huyu ndie Nabii wenu.
M 13 * 9 = 117
U 21 * 9 = 189
H 8 * 9 = 72
A 1 * 9 = 9
M 13 * 9 = 117
M 13 * 9 = 117
A 1 * 9 = 9
D 4 * 9 = 36
---------- TOTAL = 666
Because the first nine letters represent 1–9. The tenth letter represents 10, with the nineteenth letter representing 100 and so on. Since the book of Revelation is written in a Hebrew context by a Jew with numerous allusions to the Old Testament, we should expect the solution to deciphering the meaning of six hundred and sixty-six to be Hebraic.Ungenielewesha hiyo 9 hapo imekujaje,
maana zote unazidisha kwa tisa!
Mathayo 7:22-23
Wengi wataniambia siku ile:Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
Amesema kati ya Ukrain na Russian ndege nyingine kubwa ya abiria itatunguliwa'
ametabiri kuhusu Obama kukimbizwa hospitali muda wowote kuanzia sasa hivi
ametabiri nchi inayopakana na Kenya Rais wake wa kutekwa,,,,,,,,je ni Tanzania?
Muhammad is 666
Huyu ndie Nabii wenu.
M 13 * 9 = 117
U 21 * 9 = 189
H 8 * 9 = 72
A 1 * 9 = 9
M 13 * 9 = 117
M 13 * 9 = 117
A 1 * 9 = 9
D 4 * 9 = 36
---------- TOTAL = 666