Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Tb Joshua atabiri mambo makubwa

Na mbona wanapokuwa wakisema hizo tabiri zao hawasemi na cure? zaidi sana wanasema tuzidi kuomba. I mean they always let you in doubts, they're never specific about a solution. This makes me question their validity

Huu ni unabii sio utabiri
Maombi ndo cure yenyewe
We ulitaka cure iweje?

Ambao hawana cure ni wale wa utabiri
 
akipatia tena safari hii naokoka nakuacha bia na fegi..

Hahahaa haaaa lini alikosea?

Unajua.km huwa.unamsikia tu huwezi kuelewa unless u watch the programme tena angalia zile za live tu.

Subiri ss obama atakavyokinbizwa hosp
 
Prophet Tbjoshua is next level n is a peace of heaven walking on earth, wanaombeza wanapoteza Muda wao.... Hapa marekani ma shirika makubwa ya habari magazeti na tv yalithubutu kushindana naye mwisho yamenyoosha mikono,Mungu ameshampa GRACE ya kufanya mambo yasiyomithirika!!!!!wivu, roho mbaya na kila dharau hazina nafasi!!!! N soon ataipindua dunia miguu juu kichwa chini, is matter of time
 
labda ndo mambo ya lesotho

Ya Lesotho si yameonekana na mwelekeo wake sote tunaufahamu, kuna haja ya kuuita unabii? Alisema ndege ya Malaysia ingepatikana; je ilishapatikana?
 
Huu ni unabii sio utabiri
Maombi ndo cure yenyewe
We ulitaka cure iweje?

Ambao hawana cure ni wale wa utabiri
tatizo tulilonalo sisi binadamu ni moja tu, nalo ni hili huwa tunafikiri watumish wa Mungu ni watu wa kushindana nao na kuwabeza.

yaani wala hatukumbiki kwamba Mungu alishasema tusiwahukumu manake sio sisi tuliowaweka walipo na yeye aliyewaweka yupo na anaona na anajua adhabu yao iwapo watamkosea.

Binafsi huwa naogopa sna kumnyooshea kidole mpakwa mafuta wa bwana na ukweli hata kama nilishawah kutenda kosa hili kwa kujua ama kutokujua Mungu na anisamehe.

mie sina haja ya kumuamini yeye wala simwamini yeye ila namwamini Mungu aliyemweka alipo so kama atatuongoipea kwa jina la Yesu iyo ni juu yake but to me huyu ni mtumish wa Mungu na naamin anachokisema yeye kama mtumish wa Mungu.
 
Si amwambie Obama aachane kwanza na Freemasonry au anamwogopa
 
Wakuu

Jambo zuri kuhusu secret society(freemasonry and the like) ni kwamba wanajua kila kitu kitakachotokea kesho (siasa,uchumi),kwa kuwa kila kitu kipo kwenye plan/schedule.They are like brothers!!

Mipango wanapanga pamoja na kwa manufaa wanayojua wao!!

Just remember,EVERTHING IS PLANNED!!
 
TB JOSHUA Aliwahi kutabiri nini hasa kikatokea? Mara Ngapi??


Naomba mtu anisaidie japo evidences chache tu ili nianzie hapo.....

I'm serious!

ingia u tubu utaona au angalia ile Emanuel tv utaona wanaonyesha na kurudia,na siku moja uje uhame kwenye hiyo dini ya majini na kuchinjana
 
Binadamu bwana .......kabla hujaponda chukua biblia ujifunze maana ya unabii .....TB Joshua ametoa unabii wa mambo mengi na yametokea .......mtumishi wa Mungu utamjua kupitia matunda yake .......he is man of God .....
 
Mathayo 7:22-23

Wengi wataniambia siku ile:Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
 
Back
Top Bottom