Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Ulifikiri kwa makini hesabu imenyooka sana
 
Kuzidisha kwa maana nyingine ni kujumlisha kwa idadi ile unayozidisha...

Mfano 8 x 2 ni sawa na 8 + 8;
8 x 3 ni sawa na 8+8+8;
8 x 0 ni kwamba hio nane yako haujaiongeza kwahio ni 0 (yaani haipo)
8 x 1 ni kwamba ni 8 peke yake ambapo jibu ni nane...
Mtu aliekua haelewi hesabu darasani hawezi kuelewa hii explanation, kiufupi hili ndio jibu
 
Namna hii lazima uone mbunge wako amefanya kazi kubwa sana ya kukuletea maendeleo, kwa hio subiri khanga, kofia na sahani ya ubwabwa.
 
Kifo chale kimeniliza sana mpaka macho yamevimba kanakwamba nimedungwa na nyuki.
Waache kumlilia wazungu wenzie Ila jamaa miyeyusho sana 😂 😂


Unawakumbuks wasabato masalia walokesha uwanja wa ndege wakitarajia kusafiri pasi hawana visa, wala hati ya kusafiria, wala kibali chochote wakitegemea miujiza 😂
 
una hoja usikilizwe,usipojibiwa na wanaojiita vichwa basi tumedanganywa vya kutosha kuhusu hili iltakiwa 0 times 8 ndo iwe 0 sio 8 times 0
Rudi kasome form one hesabu

Kuzidisha na kujumlisha ( commutative property)
2+8 = 8+2 = 10
8 x 2 = 2 x 8 = 16

Kutoa na kugawanya ni substractive property
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Ni sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.

Na 8 x 0 ni sawa na kusema nane nane ziwe sifuri ambapo haupati nane kwasababu ziko sifuri.
 
Waache kumlilia wazungu wenzie Ila jamaa miyeyusho sana 😂 😂


Unawakumbuks wasabato masalia walokesha uwanja wa ndege wakitarajia kusafiri pasi hawana visa, wala hati ya kusafiria, wala kibali chochote wakitegemea miujiza 😂
Kwa hiyo walikwa wanaamini mambo ya mirako.
 
Tafsiri ya x maana yake ni "ZIWE(zijirudie)"

Ukiambiwa 7 x 5 maana yake unaambiwa 7 zikiwa ama zikijirudia mara 5 jibu linakuwa ngapi?

Hapo ndio unaandika vitu vyako 7 vikijirudia mara kisha ndio unajumlisha na kupata hesabu kamili.

Kwa tafsiri nyingine maana yake X ina kujumlisha ndani yake lakini + haina x ndani yake
 
Kimaelezo inaweza changanya, ila zile operations zina tabia zake
+ na x haziathiriwi na position
A x B= B xA
A +B =B+A
maana yake
1 + 2 = 2+1
8 x 0 = 0 x 8

Kukuelezea zaidi ni ngumu ila swali zuri na fikirishi
 
Back
Top Bottom