Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni uongo wa Mathematics

Iko sawa tu, una kuku wako nane, ukawauza kwa sufuri, hakuna faida utapata zaidi ya sufuri
 
Ndio maana sisi wawekezaji mechi ikiahirishwa odds zake zinakuwa 1.0 ili hela yako iwepo. Ingekuwa inawekwa odds 0 basi hata mechi ikiahirishwa na nyingine zimetiki, itakapozidishwa tu na odds za mechi iliyoahirisha, pesa yote ingepotelea kusikojulikana yaani kwako haipo na kwa mhindi haipo.
 
Ni sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.

Na 8 x 0 ni sawa na kusema nane nane ziwe sifuri ambapo haupati nane kwasababu ziko sifuri.
2 × 3=6
3 × 2=6
 
Back
Top Bottom