Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Mkuu maana yake nikwamba ukitaka 8 iwe sifuri inakua, kama ni kuku ukitaka wawe hakuna unawala wote ndio unabaki na Niko sifuri.
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Hesabu zimegawanyika sehemu mbili kuna ingine inaitwa logical mathematics inategemea wewe unaongea kwa pande ipi ungefafanua

Mfano una mbegu mbili za mahindi
Mbegu moja ukaipanda shimo .moja hapo ni one times one itakuwa kwa hesabu za kawaida one lakini kwenye logical mathematics sio kweli kuwa hiyo mbegu moja umepanda kama all factors remains constant yaani mbegu hiyo iote vizuri ,isipate magonjwa hadi kuzaa mahindi ikabeba matatu nk jibu .lake zitakuwa mbegu ngapi kwenye hayo mahindi ni unkown

Sasa wewe unaongelea angle ipi ya mathematics logical au ipi? Ongeza nyqma kwenye swali lako

Mathematics ina branches nyingi

Wewe unaongelea branch ipi ya mathematics?
 
Kuzidisha kwa maana nyingine ni kujumlisha kwa idadi ile unayozidisha...

Mfano 8 x 2 ni sawa na 8 + 8;
8 x 3 ni sawa na 8+8+8;
8 x 0 ni kwamba hio nane yako haujaiongeza kwahio ni 0 (yaani haipo)
8 x 1 ni kwamba ni 8 peke yake ambapo jibu ni nane...
 
8 x 1 ni sawa na kusema upeleke vitu vinane sehemu fulani mara moja. Ukipeleka mara moja kutakuwa na vitu vinane.

8 x 2 ni sawa na kusema upeleke vitu vinane vinane sehemu fulani mara mbili. Ukipeleka mara mbili kutakuwa na vitu kumi na sita.

Sasa hiyo 8 x 0 ni sawa na kusema unatakiwa upeleke vitu vinane sehemu fulani lakini usipovipeleka hata mara moja (0) maana yake hapo sehemu hapatakuwa na chochote (sifuri).
 
Sifuri nini...?
Maana yake hakuna kituuu
Namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri...

Sifuri ni nini
Hakuna kitu...

Sifuri ni nini
Hakuna kitu...

Namba hasi ni nini..
Ni pungufu zaidi ya sifuri

Namba hasi ni nini
Nipungufu zaidi ya sifuri

Namba hasi ni nini
Aaaah bana eeeeh nimechoka nasema hvi namba hasi ni pungufu zaidi ya sifuri...

Aaah kumbe hapo nimeelewa
Umeeelewa nini..
Nimeelewa nimeelewa..😂😂😂😂😂
 
Kuku nane ni kuku nane mara moja.

Sifuri ni tumbo lako.

Ukiwala wote kuku nane usibakie na kuku ndiyo kuku nane mara sifuri.
Nikiwala inakuwa nane kutoa nane ndo wanabaki sifuri, sasa hapo sijala wala kutoa kuku hata mmoja.
 
Back
Top Bottom