Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,180
- 24,798
AchanaTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Tuifanye uachane na kuzidisha hizo Kuku 8 kwa 0,Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Wewe fanya kuchukua hao Kuku nane ugawe kwa 0 utajua watakapoenda.