Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,216
- 30,884
nachekesha vipi gentleman na kuku hazionekani ?vipi tena mkuu wangu wa idara ya siasa kutoa jibu la kuchekesha?
au umeziona mahali na umeuchuna tu?
lete jawabu tuone kama ni zenyewe kwa faida ya wadau wa JF 🐒