secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,208
- 28,276
Za kuwatishia wanafunzi hizi. Nimepanga ifikapo 2027 mdomo usionekane kabisa.😂😂😂 Hizo mustach km mkuu wa shule

E mwenyewe nazipenda sana mustaachZa kuwatishia wanafunzi hizi. Nimepanga ifikapo 2027 mdomo usionekane kabisa.
Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Mkuu haraka waulize CCMTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
8 x 0 =0Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Ni nzuri na zinakufanya muke akuheshimu ndoani.E mwenyewe nazipenda sana mustaach
Zikuku zanguHivi ni kuku wangu au kuku zangu?
Namba ya kwanza inasimama kama namba ya kuzidishia tu.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Kuku zilienda au walienda?Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Usiniambie 😂Ni nzuri na zinakufanya muke akuheshimu ndoani.
Una kuku nane unazidisha na kitu ambacho hakipo basi hata hao kuku nane ni sifuriTazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Huu mfano ni wa 0×8 sio 8×08 × 0 =0
Why?
0×0×0×0×0×0×0×0=0
Jaribu kufuga kisha unipe mrejesho wangu.Usiniambie 😂