BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 7,976
- 20,021
Zitakuwa zimemezwa na Kinyeo cha BolotobaZimemezwa na sexer secretarybird mume wa BICHWA KOMWE -
Zitakuwa zimemezwa na Kinyeo cha BolotobaZimemezwa na sexer secretarybird mume wa BICHWA KOMWE -
Shemejii toa elimu tufaidike 🤣🤣Ngoja hiyo elimu nimpe BICHWA KOMWE - ili mtoto wa kiume tutakayemzaa asikose mambupu na kuanza kuwa na sauti nyororo za kumvutia hadi nyoka.
Astakafirullah astakafirullahZitakuwa zimemezwa na Kinyeo cha Bolotoba
Kunani tena mkuu.Hahahaha utajua hujui nasikia IFM 😃 wamekichafua huko
Machalii wameamua kusaliti chamaKunani tena mkuu.
Hebu nijuze.
Hilo limeisha ondoa jaka la roho kabisa.Shemejii toa elimu tufaidike 🤣🤣
kimeta?huenda kuku hizo zimekufa kwa kimeta au kideri![]()
Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi.... Wewe unatakiwa uangalie Ubongo Kids, Akili na Mama Ndege watakusaidia
Nipe news bulletin pleaseMachalii wameamua kusaliti chama
Hujaelewa tuu jamaa anaililia 🤔Nipe news bulletin please
Zilienda kwenye sifuri mkuu..Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Anaitwa nani aise 😁😂Hujaelewa tuu jamaa anaililia 🤔
Sahihi ni kuku wangu sio kuku zanguHivi ni kuku wangu au kuku zangu?
Navosikia wanasema ni keivooAnaitwa nani aise 😁😂
Umefikiri nje ya box, usikilizwe kwa makini sana.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
yes kimeta gentlemankimeta?

AsanteSahihi ni kuku wangu sio kuku zangu
Kuku nane ni kuku nane mara moja.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔