Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,156
- 18,105
Nina mustache km za Mr RSMJaribu kufuga kisha unipe mrejesho wangu.
Nina mustache km za Mr RSMJaribu kufuga kisha unipe mrejesho wangu.
Mathematics haina uongo. Ni facts tupu. Labda hujui maana ya sifuri au zero. Maana yake hamna kitu. Hivyo, kwa habari ya kuku 8 ukizidisha kwa sifuri ni sawa na kusema ulikuwa na kuku 8 wakati unaenda kulala usiku. Asubuhi ukaamka ukakuta mafuriko yamepitia banda na kusomba kuku wote. Hivyo hujabakiwa na kitu. Sifuri ni hakuna kitu. Kuku Nane zidisha na hakuna kitu jibu ni hakuna kitu. Namba yoyote ukizidisha kwa sifuri jibu ni sifuri.Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
sasa hapo wewe na mathematics nani muongo!? yaani wewe ndio liongo kuliko hata toto TUNDU😂Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
8 x 0 = 0 × 88 × 0 =0
Why?
0×0×0×0×0×0×0×0=0
Hahaha 😁, mpenzi wako anazichukuliaje.Nina mustache km za Mr RSM
Hii inaeleweka kirahisi sanaNi sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.
Na 8 x 0 ni sawa na kusema nane nane ziwe sifuri ambapo haupati nane kwasababu ziko sifuri.
Ananiita ndege wa kiotani 😂 😂Hahaha 😁, mpenzi wako anazichukuliaje.
Mleta mada pata muongozo huo...8 × 0 =0
Why?
0×0×0×0×0×0×0×0=0
Hiyo ni heshama kubwa ambayo haipatikani kirahisi so be proud.Ananiita ndege wa kiotani 😂 😂
Nane (8) ina masifuri mawili kwahiyo imejiunga imekuwa sifuri moja kubwaaaa ndo hiyo (0)Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
Proud kuwa mjukuu wa Mwamedi 😍Hiyo ni heshama kubwa ambayo haipatikani kirahisi so be proud.
🙏🙏🙏BICHWA KOMWE - NDUGU NIKUSAIDIE KITU HESABU/HISABATI/MATHS SIO SUALA LA HISIA BALI NI FACTS! UTANIULIZA KIVIPI! UNAPOJUMLISHA KITU NA KITU FACT YA HESABU/THAMANI YA HESABU/NAMBA INAHESABIKA KWENYE KILE KITU ULICHONACHO SIO KILE USICHOKUWA NACHO! VIVYO HIVYO KWENYE KUTOA! UNAPOZIDISHA(MULTIPLY) AU KUGAWANYA (DIVIDE) KITU, THAMANI(VALUE) YA ICHO KITU INAHESABIKA KWENYE KILE KITU INABEBWA/AU KUTHAMINISHWA NA ICHO KITU UNACHOZIDISHA NACHO!
To shorten the story!
Ukiwa na machungwa 7 +/-machungwa 0( thamani ya machungwa inabebwa na machungwa 7 uliyonayo).
Na
Ukiwa na machungwa 7×/÷machungwa 0(Thamani ya machungwa yako inabebwa na kile kilichokuja KUGAWANYA machungwa yako)
HII INAMAANA KWAMBA
Machungwa 7 nimegawanya/kumzidishia kwa mtu SIFURI, Je sifuri amepata nini!?? Jibu ni SIFURI(HAJAPATA KITU)/
IN OTHER DIMENSION
Mfano nilikuwa nina machungwa 7 nikayagawa/kuwazidishia kwa watu o(SIFURI) NITAKUWA NIMEYGAWA AU KUWAZIDISHIA IDADI GANI YA WATU!?? JIBU NI NIMEWAZIDISHIA/KUWAGAWIA WATU SIFURI TU.
Lakini hayo hayo machungwa 7 nikitoa machungwa 0 au kujumlisha machungwa 0 nitabaki na nini!?? Jibu ni MACHUNGWA 7.
USIPOELEWA HAPA! HAMIA CCM KWENYE MAZUZU WENZAKO!!
Hahaha 😁, sina neno.Proud kuwa mjukuu wa Mwamedi 😍
😂😂Hahaha 😁, sina neno.
Wewe ndio hujaielewa lugha ya mathematics. Ipo hivi kuku 8x0=0 maana yake wazidishe/ waongeze kwa rududia mara hakuna[0] , Je ongezeko ni lipi? Ongezeko ni 0 manake kuku wapo wale wale 8 hawajaongezeka. Jibu ni 0;Tazameni Uongo Wa Mathematics
Eti: 8 x 0 = 0
Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?🤔
vipi tena mkuu wangu wa idara ya siasa kutoa jibu la kuchekesha?huenda kuku hizo zimekufa kwa kimeta au kideri![]()