Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Kuwaza tu kupima Corona kwenye mapapai ndiyo ujima wenyewe huo. Hata kufuata mitishamba visiwani ndo ujima wenyewe.
Tz haiwezi rudi kwenye ujima kwasabaju haijawahi toka kwenye ujima.
 
Jana hapa Arusha nimeshuhudia foleni kubwa sana maeneo ya Majengo katika duka moja.

Hatari sana. Mtaani kwetu hakuna duka linalouza sukani.

Nasikia kuna naibu waziri ameshauri tuachane na sukari tutumie asali.
 
halafu wapo kimya hamna anaeongea tena kwa sasa makonda pia kakausha tu hawa watu hawa bogaz kabisa
 
Bila picha za Watu waliopanga foleni itakuwa chai

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Morogoro Leo, kataa kwa vile mmezoea kusifu na kuabudu.
IMG-20200510-WA0014.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chato mambo yako swaafi sukari imejaa ..nazani ndo maana haimshtui

sijui itakuaje
 
Eti ninyi wataalamu wa uchumi tuelezeni Hii hali ya sasa watu kupanga foleni kununua sukari ndio tumefikia kilele cha ile Tanzania ya viwanda au Donor country tuliyo ambiwa?

Eti anadai alipoingia yeye alikuta Sukari ikiuzwa bei juu akafanikiwa kuishusha hahahaa mlioko huko ktk foleni tujuzeni ukweli wa commedy hii ya kiongozi wa malaika au chaguo la mungu wa Madagascar.

Hello our fellow Kenyan's, are you still wanting leadership exchange with donor country? We will give you him, Libashitel, and Kabudege in advance. Just give us Uhuru inatosha.

Nipo huku Kisiwani Lubondo kama unaswali niulize.

Maendeleo hayanaga vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni effect ya lockdown. Na wala si Tanzania hata nchi zingine watu hawaruhusiwi kununua zaidi ya packt 2 ya maziwa ama sukari tena in heart of europe.
 
Dah! Hiyo foleni imenifurahisha sana, wapiga dili wanaumbuka sasa.
Wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani bei ya sukari ilikuwa Tsh. 5000! Sasa imeshuka,wapiga dili wanapanga foleni ili wainunue kwa bei ya chini halafu waifiche!
 
Hiyo ni effect ya lockdown. Na wala si Tanzania hata nchi zingine watu hawaruhusiwi kununua zaidi ya packt 2 ya maziwa ama sukari tena in heart of europe.
Kwani sisi tuna lockdown, yani kweli utetezi mwingine muwe mnaona aibu
 
Siyo ethical pia kugawa chakula bure mitaani. Watu wataacha kufanya kazi na kupanga foleni kupokea msaada? Devota Minja naye kesho atagawa sabuni na tambi za futari

Sent using Jamii Forums mobile app

Uchumi ukiwa mzuri sio tatizo kufanya hivyo, watanzania wanabaki wamiliki wa uchumi na watu wetu wanaishi free tunaleta wahindi, wanepal, wapakistan, wabangladeshi na majirani masikini kuja kutufanyia kazi kama uarabuni vile wenyewe tunakula bata tu.

Kwa speed ya awamu ya Tano, soon uchumi TZ utafanana na UAE.. Ikiwezekana Rais wetu akimaliza muda tumuongezee kumi mingine mpaka mwenyewe aamue kupumzika..
 
Back
Top Bottom