Tayari Watu wameshapigwa huko!

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
347
906
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!

Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika.
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
9,363
17,150
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!

Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika. View attachment 2364920
Safi kabisa acha wapigwe hamna huruma toka tapeli zoefu ONTARIO watu bado tu awajajifunza.

mrangi
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
9,363
17,150
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!

Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika. View attachment 2364920
Dah hadi picha ya mama

Cc Chura
 
Ukiitwa kwenye fursa juwa wewe Ndo fursa yenyewe.

Prince Kunta
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Top Bottom