Tayari Watu wameshapigwa huko!

Ukiitwa kwenye fursa juwa wewe Ndo fursa yenyewe.

Prince Kunta
Niliitwaga kwenye fursa 1 hivi
Ilikuwa kwenye mgahawa mmja hapo
Mlimani city,mmiliki naye alikuwa naye yuko kwenye fursa
Nkawasikilizaaaaaaaa.........kumbe mm nlikuwa nshawajua
Issue sasa ikawa nije ntoe hela
Nkawapanga kwa sasa sina hela maana nmepoteza id zangu,bank nk
Nkawqmbia mln 3 syo issue ntaitoa
Ila sasa nkamwambia mmja wao pale aniazime laki 3 niweze kuishi huku nafanya mpango wa hela zao ntarudisha pamoja na ile Mln 3
Wakanipa laki 3,ahhh nliondoka nayo mazimaaaaaa

Baada ya muda huko nyuma wakiyoweka hela nasikia maumivu tu
Kwao

Ova
 
Mrangi unatapeli tapeli?
 
Hahahaaa tapeli akawatapeli matapeli...
 
ulitapelii matapelii
 
Hyo ni kampuni gani?maana sijafungua video...sema kuna jamaa hapa job anasema kuna kampuni ukiweka lak ndan ya wk wanakutumia laki na themanini iv..ila nilshamtaadharisha kwamba atapiwa ila yey anasema ataweka mzigo mkubwa kama kilo tano iv
 
Na ukiwaambia ni wabishi hao, jamaa yangu kanitumia link sijui scatec wale wanajiita kampuni toka Sweden sijui Norway.. Kapagawa kajiunga kapewa elfu 6, anasema akiweka pesa atakuwa anapata 15% kila wiki 😂, anataka aweke milioni awe anavuna 150k kila wiki.

Basi nimemaliza nyimbo zoote kumuelewesha nahisi ananiona kama mchawi wake kwwa sasa, hanicheki tena, mawasiliano yamepungua, nasubiri apigwe nimtafute, kama jamaa yangu wa Qnet alivyokula za uso, hadi huruma ila ukikumbukka walivyllluwa wanakuona wewe mshamba, kizingiti cha wao kutoboa, unacheka huku unasikitika, 😂
 
Hahahah hivi hawa Scatec ndio zile kampuni za kupost sijui matangazo 20 na kupewa hela kidogo? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom