Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Duuuh jamaa kajiamini Hadi kubadili rangi ya bendera.
Duuuh jamaa kajiamini Hadi kubadili rangi ya bendera.View attachment 2365639
Tatizo la wabogo wana akili fupi wanajua kufanikiwa maisha ni jambo jepesi hawajui kufanikiwa ni mchakoto mrefu wenye misukosuko mingi.Wabongo asilimia kubwa ni wajinga
Na bado wataendelea kupigwa
Maana hawasikiii,hawaelewi
Ova
Waendelee kupigwa sana. Watanzania wanaamini shortcut. Baadhi hawataki kujibiidisha wala kujiongeza.Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!
Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika.View attachment 2364920
utalia mkuu acha kabisa.Vipi hawa wanaitwa Kalynda?
Kabisa,wapigaji wanaamini wajinga hawaishiMkuu wapigaji wenyewe wanajisifu kwamba WAJINGA hawaishi maana wakiisha wao watakufa NJAA.
Kama mdau anavyosema watu hawajajifunza huko nyuma kwenye DECI , Faida Investment etc hayo mambo ya 2006-2008 lakin hadi leo miaka 14 after watu wanaendelea kupigwa.
Ukitaka jua wajinga wengi, andika kuhusu connectionWabongo asilimia kubwa ni wajinga
Na bado wataendelea kupigwa
Maana hawasikiii,hawaelewi
Ova
Ila yule dogo amekubuhu na hachokiNiliona na Mr Kuku anasema anadaiwa almost 1.3 bils na watu maana ufugaji na kilimo hakikwenda sawa.
Niliona na Mr Kuku anasema anadaiwa almost 1.3 bils na watu maana ufugaji na kilimo hakikwenda sawa.
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!
Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika.View attachment 2364920
MCHANA NILILETA UZI HUMU KUHUSU UTAPELI WA VANILLA INTERNATIONAL MODS WAKAUFUTA.
NIKAJUA NI WALEWALE!