Tayari Watu wameshapigwa huko!

Tayari Watu wameshapigwa huko!

Na ukiwaambia ni wabishi hao, jamaa yangu kanitumia link sijui scatec wale wanajiita kampuni toka Sweden sijui Norway.. Kapagawa kajiunga kapewa elfu 6, anasema akiweka pesa atakuwa anapata 15% kila wiki 😂, anataka aweke milioni awe anavuna 150k kila wiki.

Basi nimemaliza nyimbo zoote kumuelewesha nahisi ananiona kama mchawi wake kwwa sasa, hanicheki tena, mawasiliano yamepungua, nasubiri apigwe nimtafute, kama jamaa yangu wa Qnet alivyokula za uso, hadi huruma ila ukikumbukka walivyllluwa wanakuona wewe mshamba, kizingiti cha wao kutoboa, unacheka huku unasikitika, 😂
Mkuu ndo hiyo kampuni ishawapiga watu mamilioni wamewaachia tai na leseni feki ofisini kwao
 
Sasa mbona haya mambo ya DECI, Foreverliving, GNLD, Qnet ya Kigwangwallah na zinginezo tunazipigia sana kelele humu?

E852544A-2E68-4F1B-AD21-1E099C490B76.jpeg

30DC5543-735F-483F-9019-03B64E4356B0.jpeg
 
Kila wakati watu wenye akili timamu wakijaribu kuupinga huu utapeli hapa JF watu hawaelewi wanaziba kabisa masikio!,haya sasa tayari huko watu wanalia!

Bado hao waliokuja kwa kasi ya upepo hivi sasa hapa Dar waliojaza mabango yao barabarani na kujidai wao sio matapeli,muda ni rafiki mzuri naamini vilio vitasikika.View attachment 2364920
Kwa kweli hii ni aibu hata kwa Serikali its very shame hatuko makini kabisa .Kampuni mpk inafanya mambo yote hayo Serikali haina habari sasa wangalikuwa magaidi je ?serikali inatakiwa itoe list za foreign company zilizosajiliwa ktk mtandao wao wa Serikali .Dah hii kitu mbaya sana ,jamani hakuna pesa za bure au rahisi tufanyeni kazi wacheni tamaaa tamaaa .
 
Hata Hawa scatec walikuwa wa ukweli. Mwanzoni wanaanza Kama wa ukweli, mwishoni ndio wanageuka.

Sio kama wanaanza kama wakweli ,ndio strategy ya upigaji inavyokuwa ,kwanza unaweka chambo kunasa "MAZUZU" ,kuna sehemu watu walishawai kulizwa mchana kweupe.

Jamaa walikuja sehemu wakakodisha nyumba nzima wakalipia miezi mitatu ,wakaweka fenicha fresh,computer printer etc ,wakaja na issue ya kupanda mbegu baada ya wiki unavuna mara tatu yake,wakawatoa watu 6 kama chambo hivi ili kuaminisha umma.

Wale jamaa sita kweli waliweka pesa baada ya wiki wakipgwa mara tatu yake,week inayofuata wakaja watu wa kutosha kuwekeza mipunga,wengine wakaweka hadi 10m ,ndani ya week wakakusanya mtonyo tu wa kutosha aiseee ,baada ya kuona mission imekamilika WAKASEPA na KIJIJI nyuma wakaacha MAYOWE.
 
Safi sanaaa

Maana wajinga ni wengi na bado

Hawasikii

Ova
 
Safi sanaaa

Maana wajinga ni wengi na bado

Hawasikii

Ova

Mkuu wapigaji wenyewe wanajisifu kwamba WAJINGA hawaishi maana wakiisha wao watakufa NJAA.

Kama mdau anavyosema watu hawajajifunza huko nyuma kwenye DECI , Faida Investment etc hayo mambo ya 2006-2008 lakin hadi leo miaka 14 after watu wanaendelea kupigwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom