Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwali, Apr 6, 2012.

 1. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje
  Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote
  Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo tu.
  Wanaume waliniangalia sana na macho ya tamaa, nikajifanya siwaoni

  Day version​
  534068_10150665823418790_89817533789_9309137_1460836039_n.jpg
  Night version:​

  View attachment 51168
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,907
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  O la laa...!
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huu mtatoo aibuuuuuuuuuu
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Napenda tatoo...
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  One of these days nitakuchungulia ili niione live hii..
   
 6. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kuna shape zingine jmani khaa!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ha ha ha ha, Mwali nani kakuambukiza akili hizi?

  Utapoteza point sasa hivi.
   
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Aminata9 najua ulikua unajivunia tatoo, huwezi furahia yangu.
  Sasa na mimi nimesha weka, compe ianze rasmi. :heh:
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,471
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Sasa cha kuvaa kikaptula cha mdogo wako? Uliomba ruhusa ama ulimuibia? Mwali wa kucharazwa mboko wewe sasa!
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Haya ndio mambo ya siku hizi. tunaenda na wakati
  Kama hivi msimo wa joto, si wakati wa kujitandia tena
  Nakwambia watu waliniangalia sana, wanaume wananitamani
  wanawake wananikodolea mimacho tu, wanaona wivu. lol
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hiyo ilikua kubwa kidogo, nikashonea mwenyewe mifuko pale mapajani
  Haitakiwi kupwaya hii, ikipwaya watu watapiga chabo nikikaa
  lazima iwe tight, inabana wowowo sawasawa. umeipenda?
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mie tayari mboko ninazo.
  Nikuletee uwashie moto??

   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Vya kuchunguliana tena? Usisababishe tuvunje mkataba mapema.
   
 15. p

  papillon Senior Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shape ya filifili ila anaonekana kajikubali haswaaa. Yupo comfortable
   
 16. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Jamani mbona kwenye mkataba hakuna kipengele kinachokataza kuchunguliana? Naomba nitii kiu yangu tafadhali.
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tena next move ni kuweka tatoo ya papillon begani
  Sijui kwa nini ulichagua hili jina katika kipindi hiki
  It must be a signe, ngoja tuone kwanza.
   
 18. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Basi nichungulie ila nisijue kabisa,
  kama ninavo kuchunguliaga bila wewe kua na habari
   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ambitiois anaharibiwa tukimwona hivi hivi.

   
 20. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  looooool, stop being so old fashioned, c'mon!
  Kwanza nikuulize habari ya yule mtu.
  Do you think he'll like the tatoo? the outfit?
  Mchimbe please... :)
   
Loading...