Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

Nikiangalia Avatar yako mbona naona mtu tafauti, au umeweka na mkororgo?
Halafu King'asti kakugombeza, "urejeshe surauali ya mdogo wako"; na umejitayarisha kujibu nini dada AshaDii akiiona hii?
Anyway, ninapenda ubuifu wako.
Hahahaha, hapa ni chit chat mkuu, tunacheka tu, stress zimezidi TZ.
Niliona hizi picha nikaxheka sana, but niliona niwaleteeni tucheke wote.
Ila Anti akiona hii najua siponi bakora, na Kin'gasti kisha fikisha habari.
 
Lahaulah wallah Quattah, Mungu apishe mbali!
Sijafundwa hivo na Anti yangu. Yanahusika vipi hapa?

Sorry...

Ulitaka kujua na mimi kama mwanasayansi,tena ya binadamu... Ikanibidi niingie kazini na kuwa open:.
 
Hahahaha, hapa ni chit chat mkuu, tunacheka tu, stress zimezidi TZ.
Niliona hizi picha nikaxheka sana, but niliona niwaleteeni tucheke wote.
Ila Anti akiona hii najua siponi bakora, na Kin'gasti kisha fikisha habari.
Omba Mungu Anti yako asiingie hapa hapa mpaka Jumanne, akijafungua post iwe imeshapotea katika kurasa, vyenginevyo nisingependa kuwa katika nafasi yako. Just in case, vaa ngozi ya chura.
 
Omba Mungu Anti yako asiingie hapa hapa mpaka Jumanne, akijafungua post iwe imeshapotea katika kurasa, vyenginevyo nisingependa kuwa katika nafasi yako. Just in case, vaa ngozi ya chura.
Itasaidiaje sasa? lol. Nimesha panga uongo.
Akija namwambia niliibiwa password, sio mimi. lol
 
Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje
Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote
Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo tu.
Wanaume waliniangalia sana na macho ya tamaa, nikajifanya siwaoni

Day version​
View attachment 51160

Night version:​

View attachment 51168

mazoezi mazoezi
 
hata wakitumia dawa shape hazitarudi?
Unajua kuna watu wananenepa na wanabaki na shape, japo kwa mbali
Ila sasa hawa wananenepa juu, chini wanakonda. Ona huyo wa pili. lol
 
Aminata9 najua ulikua unajivunia tatoo, huwezi furahia yangu.
Sasa na mimi nimesha weka, compe ianze rasmi. :heh:
sorry i was away for a while ndio mana nilishindwa kureply..........we wangu tu wa kufa nakuzikana usijali pamoja sana tu
mzima ww lkn?
 
Sijui nilivuta nini siku ya kuweka hii thread. khaaaaa!
 
Back
Top Bottom