Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

you are finished.
Hivi ile afro na ile suti unaona vinaendana na hii shape.
Nadhani tatoo ataipenda ila iwe temporary.

looooool, stop being so old fashioned, c'mon!
Kwanza nikuulize habari ya yule mtu.
Do you think he'll like the tatoo? the outfit?
Mchimbe please... :)
 
ha ha ha ha
Mwali umepinda
simtaki huyu bedsheet mate wako
anakuharibu
Bedshit yupi tena? mi nashahuriwa na Husniyo tu,
Akinambia vaa na vaa, akisema sio sawa natoa. I trust her.

My dia mwali,ankal na anti wanalijua hili?uwiiiii ankal come this way lol!
Hawajui, na hawatajua (Unless uwaambie wewe)
Uncle akijua ataua mtu, he trusts me so much!
 
Bedshit yupi tena? mi nashahuriwa na Husniyo tu,
Akinambia vaa na vaa, akisema sio sawa natoa. I trust her.

Hawajui, na hawatajua (Unless uwaambie wewe)
Uncle akijua ataua mtu, he trusts me so much!

Mie wala ctawaambia cha msingi ni kuzidisha maombi wasipite pande hizi maanaa........!
 
Ha..ha..ha this attire looks as uncomfortable as a giraffe trying to drink water from a river.
Tamaa zako zinakudanganya. Najua umetamaniiiii. lol

Kumbe hata pedo inakutoa eeh? Umependeza sana mwaya!
Asante mpenzi. Imagine hata bouncer alikataa niingie club
Nadhani aliogopa wanaume watapigana wakiniona.
Ilibidi niingie kwa kutumia mbinu ninazozijua mwenyewe.
 
Yaani we acha kabisa, itakuwa imekwamia njiani. Ana figure ya ukweli eeh?

Afu anajipatia kweli kwenye mavazi yanayoendana na figa yake lol.

Heheee toto figa namba 7...mwali wee!

SL yale machalari juzi niliyaota
Halafu naumwa kichwa sna njia ya msalaba Na ibada ya ijumaa kuu kwa mpigo si mchezo...
 
Heheee toto figa namba 7...mwali wee!

SL yale machalari juzi niliyaota
Halafu naumwa kichwa sna njia ya msalaba Na ibada ya ijumaa kuu kwa mpigo si mchezo...
Hongera sana kwa kuhudhuria zote kwa mpigo, nakuonea wivu manake sikufanikiwa kuhudhuria! Mkoloni aliamua leo tufanyie ibada ofisini lol. Naimani umeniombea..

Hehehe, mie nikajua unanambia uliyaiga machalari yangu kumbe umeyaota?...nilijua yalivyokuwa matamu lazima uyaote lol... Niige kesho afu nije dinner kwako.
 
Mie wala ctawaambia cha msingi ni kuzidisha maombi wasipite pande hizi maanaa........!
hahahahaha, najaribu kupata picha: mimi ndani ya club
nikicheza ndege mtini, na nimevaa hiyo outfit ya Mwali by night,
ghafla macho kwa macho na Uncle! Atapata heart attack kwa kweli.
 
Nimependa kitambi chako zaidi. unaibaga bia za ankal kaizer wewe eeh?

Hiyo ilikua kubwa kidogo, nikashonea mwenyewe mifuko pale mapajani
Haitakiwi kupwaya hii, ikipwaya watu watapiga chabo nikikaa
lazima iwe tight, inabana wowowo sawasawa. umeipenda?
 
Nimependa kitambi chako zaidi. unaibaga bia za ankal kaizer wewe eeh?
Hicho sio kitambi, mwanamke curves!
Uliza wanaume wote watakwambia hawapendi skinny girls.
Lazima uwe na unene fulani, ndio wasikukonfyizi na mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom