Basi nichungulie ila nisijue kabisa,
kama ninavo kuchunguliaga bila wewe kua na habari
I couldn't resist mwenzio. Vipi tatoo lakini, umeipenda?Kuuuumbeee!!!Ndio maana nasikiaga minyato corridor huwa nadhani ni Doggy kumbe wewe!!!...anyway ladies first is the motto japo haukuomba ruhusa.
Ambitiois anaharibiwa tukimwona hivi hivi.
Hehehe! Ataipenda lazima namjua deskmate vizuri huwa anapagawa sana na tatoo lol.Asante. Unadhani deskmate atapenda?
Sasa cha kuvaa kikaptula cha mdogo wako? Uliomba ruhusa ama ulimuibia? Mwali wa kucharazwa mboko wewe sasa!
I couldn't resist mwenzio. Vipi tatoo lakini, umeipenda?
na nimesha nunua nguo za summer,
zote zimekaa kama hii, more pics to come.
Aminata9 najua ulikua unajivunia tatoo, huwezi furahia yangu.
Sasa na mimi nimesha weka, compe ianze rasmi. :heh:
Hehehe! Ataipenda lazima namjua deskmate vizuri huwa anapagawa sana na tatoo lol.
Tena hapo ulipoichora ndio patampagawisha zaidi.. Ngoja nimpigie aje athibitishe maneno yangu.
Tatoo nilifanyia kwa mchina fulani town, hapo nilikua naenda shopping tu,Mwali nilikuona pale wanapouza junk food kumbe ndo wewe?
Ulegi sasa besti, chupa ya nyagi...hiyo tattoo ni made in where kwa pfunk, au karib na bills au SA?
Ikibidi hiyo micharazo basi nipeni mie idhini niwe wa awali Kumcharaza kwa niaba yenu, niwawakilishe wacharazaji .
Hawa ndio waleeeee: Siyataki mabishi haya.Mwali... Kwani unafanyanga mchezo mbaya?!
Hawa ndio waleeeee: Siyataki mabishi haya.
If you are very nice to me I'll let you have a look
Yaani we acha kabisa, itakuwa imekwamia njiani. Ana figure ya ukweli eeh?mwali hiyo shorts imekwamia njiani...lol au ni 'fesheni' yenyewe?
Hi shem!Mwali I don't want to have a look.. Ila nataka kujua kama huwa "unarudigi nyuma"...?
mwali hiyo shorts imekwamia njiani...lol au ni 'fesheni' yenyewe?