Tatizo ni wewe Vin Diesel

Tatizo ni wewe Vin Diesel

Bora vya Ngarenaro, unajua pale kuna msikiti, wanamwogopa Mola...
Nadhani huyu anatumia vya Ngaleloo, jirani na uwanja wa cdm wa NMC palikojengwa mabanda ya mama ntilie!

Hahahaha PakaJimmy umeua lol......afu nakutafuta kweli mwaya!

Umesharudi tanzania?
 
Last edited by a moderator:
Na wewe BW, umezidi kuvisema mno vinywaji vya wenzio...kwani viroba vina shida gani jamani!
Wewe mwenyewe unaanza na Castle light unamaliziaga na Kiroba!
Amini usiamini, wanywa bia wote lazima wamgeuze samaki kwa kunywa kiroba!

eeehhh nimevimic viroba natoka mapema niwahi kabla havijapoa usisahau limao nampitia my wifi sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Nimerudi mwaya...leo hii ndo nimeripoti kwa mzungu...si unajua tena kunyonya kwa mama mzazi kulivyo kutamu?

Yeah naelewa asee.....kunyonya kwa mama mzazi kuna raha yake......ila naimani umetubebea chochote kitu!
 
pole my sis sweetlady, mwenzio sikuwepo tangu last week, nlikuwa kwa kina Bishanga ndo leo nimerudi. ila nina imani the way mlivokuwa mnapendana na my shem nitonye atakusamehe pasi na shaka. . . .
 
Last edited by a moderator:
pole my sis sweetlady, mwenzio sikuwepo tangu last week, nlikuwa kwa kina Bishanga ndo leo nimerudi. ila nina imani the way mlivokuwa mnapendana na my shem nitonye atakusamehe pasi na shaka. . . .

Nashukuru sana lovely sis charminglady .....kwa taarifa tu ni kuwa shemejio nitonye kesha pitisha msamaha wake so ni full furaha tu hapa nyumbani......nasubiri dhawadi dhangu dha huko utokako lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom