Safi kabisa......tutatangulia na Blaki Womani!
Hahahah Blaki Womani njoo usome mwenyewe!
napiga simu waanze kuchoma chairfire tukifika tunaanza kulihifazi
Hehehehe na charminglady pia ni mjumbe...... Erickb52 ndio kaenda kuwapokea!
Hahahahaha haya bana!
Mrembo mwenye mkia wa tausi halafu uywe viroba!!!!!!? Siwezi kukufanyia hivyo.
Khaaa! Blaki Womani naomba uje unifafanulie hapa!
Hahahaha nimeipenda hiyo "chairfire" lol......kwa kutohoa tu wifi sikuwezi khaaa!
tobaaaaaaaaaaaaaa, au muku imekwisha damuni??sio kufumaniwa limechuja
eeeeehhhh nawasoma hapa
Khaaa! Blaki Womani naomba uje unifafanulie hapa!
tobaaaaaaaaaaaaaa, au muku imekwisha damuni??
na akili zikimrudia utakuwa ushapata kimwana mwingine, cjui itakuaje??